Bin Shaib
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,349
- 1,223
- Thread starter
- #21
Hilo nishaanza kuligundua mapema ananitumia kama ATM card baadae pesa zikiisha anatupa card,Wewe ni atm yake ya benki.
Unashindwaje kujua kuwa hupendwi hapo?
Anyway utakuwa bado umri wa kujua mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app

,, unaweza kumiliki demu mkali kweli,,, je akisema naomba elfu 30 ya kusuka si utaleta Uzi Tena Hapa,,, tafuta pesa demu atakuja Mwenyew,,,

