SUNGURA-MJANJA
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 200
- 33
Huu ni utafiti wangu sijui wewe..Nilivaa t-shirt ya CCM na kofia nikawa napita mitaani, nilichokumbana nacho ni zomea zomea wengine wananiangalia kwa macho makali sana na nilitwa majina mengi sitaki niyaseme.
Niliongea na baadhi ya watu wakasema wameichoka CCM kwa kushindwa kuleta maendeleo miaka 50 ya uhuru, ukiwahoji jiandae kukumbana na vikwazo kibao.
Kwa sasa T-shirt,Kanga,Kofia,Vitambaa sio issue tena kwa baadhi ya wananchi.