HUO UTAFITI WAKO NI WA HUKO KWENU ULIPO WEWE NDO 65% HAWAIPENDI
-NENDA KYELA CCM INAPENDWA WATU ZAIDI YA -80%
-KINONDONI 85%
-DODOMA 98%
-TANGA 78%
-RUKWA 76%
-KAGERA 69%
n.k
kwaiyo icho ki 65% cha mtaani kwenu bado hakina tija kwenye mapinduzi ya kweli ya kuiondoa CCM. Afu istoshe katika iyo asilimia 65% wenye kadi ya kupigia kura/watakao kua na kadi ya mpiga kura ni kama 0.07% tu
wengine wote maneno ya SOKONI MWENYE KELELE NYINGI NDO MSHINDI.
Huu ni utafiti wangu sijui wewe..Nilivaa t-shirt ya ccm na kofia nikawa napita mitaani, nilichokumbana nacho ni zomea zomea wengine wananiangalia kwa macho makali sana na nilitwa majina mengi sitaki niyaseme.niliongea na baadhi ya watu wakasema wameichoka ccm kwa kushindwa kuleta maendeleo miaka 50 ya uhuru, ukiwahoji jiandae kukumbana na vikwazo kibao. kwa sasa T-shirt,Kanga,Kofia,Vitambaa sio issue tena kwa baadhi ya wananchi.
Upinzani tanzania unapendwa kwa 0.01%
Ni wananchi wepi hawa au.
ulipita mitaa gani, maana huku kwetu ukipita unashangiliwa
jipe moyo kwa kuwa....
1. ccm ni chama kilichoshika dola maana bado kina mamlaka,
2. ccm ni chama chenye uwezo wa kutumia fedha za raia kumnunua mpiga kura.
kumbuka ccm;
ni mafisadi sn wanao jiineemesha na kuiba mali ya wananchi
Kwani hizo nguo ndo zinazopiga kura!Sijawahi kukutana na kijana kavaa nguo za CCM.
kweli kabisa ccm watatawala mpaka basi....licha ya maovu yao ila wana nguvu sana ....wana pesa za kutosha.upizani bado kuangusha ccm...kweli kabisa ccm they are here to stay...Fact 01, CCM haijaongoza nchi kwa miaka 50. Kutokujua hili kunafanya hoja yako iwe na mapungufu na vilevile kunafanya niamini kuwa wewe aidha ni mtoto ama mtu mzima ambae ni kubwa jinga.
Fact 02, Unaposema 65% ya wananchi wameichoka CCM wakati kwa chaguzi zi hivi karibuni ukianzia na zile za kata 27, CCM ilipata kata 23 kati ya hizo 27. Ukienda Kalenga, CCM ilishinda kwa 79% na mgombea alikuwa akiishi Uingereza (wananchi hata hawamjui), ukienda Chalinze CCM imeshinda kwa 90%. Sasa sijui mleta mada hizi takwimu ulikuwa uzijui ama kujitoa ufahamu tu.
CCM is here to stay.
Upinzani tanzania unapendwa kwa 0.01%
Pamoja na kapicha kako kazuri uko CCM? Ila nimependa sura yako!!!
ulipita mitaa gani, maana huku kwetu ukipita unashangiliwa
matusi hayasaidii wala hayanigusi kokote km ulikuwa unasubiri lema ukupe ugali wa kula na watoto imekula kwako, fanyeni kazi vijana, km una lakufanya njoo nikupe kazi, niko kijenge juu hapa mwisho wa hiace
Arusha ccm hamna mm nikosakina njoo hapa krb na 7up ww uko arusha gn? Kama unapic za mkutano wa ccm arusha heburu rusha, na wakat unakuja njoo ukiwa umevaa ngou za ccm kama hujalawi.......ti.......wa
Mjini kwetu unapsuliwa na hayo mavazi ya jembe na nyundo,mi binfsi siipendi ccm kama njaa