Nimeamini 65% Wananchi wameichoka CCM

Nimeamini 65% Wananchi wameichoka CCM

Huu ni utafiti wangu sijui wewe..Nilivaa t-shirt ya CCM na kofia nikawa napita mitaani, nilichokumbana nacho ni zomea zomea wengine wananiangalia kwa macho makali sana na nilitwa majina mengi sitaki niyaseme.

Niliongea na baadhi ya watu wakasema wameichoka CCM kwa kushindwa kuleta maendeleo miaka 50 ya uhuru, ukiwahoji jiandae kukumbana na vikwazo kibao.

Kwa sasa T-shirt,Kanga,Kofia,Vitambaa sio issue tena kwa baadhi ya wananchi.
Vilaza ndio wanaoweza kuamini tafiti za KIBAVICHA kama hizi. Mf...LEMA hapa Arusha mwisho wake ni 2015. Baada ya hapo hatutaruhusu tena muhuni awe mbunge wetu. Mwalimu Nyerere anasema "UHUNI WAKE AKAFANYIE HUKO BARABARANI"
 
Back
Top Bottom