Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

Ivi ata docta Sebi wa amerika ni kweli aligundua dawa na kuwatibu watu au zilikuwa ni propaganda tu za mtu mweusi
 
Kama ni kweli basi pole sana mkuu, i can't imagine muda mtu anajipima akute positive
Kaka hii dholuba imenikumba sometimes nawaza ata niwe time traveller niende mbele ya muda maybe nitakuta tayar dawa imegundulika wanitibu ama nirudi nyuma ya muda nimeze PEP ama nisifanye ngono na ex yule kabisa
 
Dah, pole sana mwana... ila hapo zingatia dawa, msosi na tizi mengine muachie Mungu.... ila before kumdirect ex moja kwa moja unapaswa kwanza kujua kama na yeye yupo positive
 
POLE SANA MKUU.

Mungu atakuponya. Jaribu dawa ya Dokta msigwa.

Ukitumia usipo pona Nitakurudishia laki mbili yako.

Uwe na Imani.
Usitende dhambi Tena
 
TUBU DHAMBI ZAKO ZOTE UWE MTU MPYA

Epuka mawazo na presure chukulia HIV ni ishu ndogo na ya kawaida huku ukitumia dawa zako bila hofu

Lakini ubadili mtindo wa maisha kidogo.

1. Epuka ngono pombe sigara na starehe..

2.kula vizuri, Dona mboga za majani samaki na matunda kwa wingi sana.

3 Fanya mazoezi na Ibada mala kwa mala mkumbuke muumba wako

4. Pata usingizi wa kutosha na mapumziko

5. Anza kufuatilia Matibabu ya Uhakika kwa watu unao waamini. Nk
 
Habari wanaJF, mimi ni kijana niliyekuwa ninajichunga na kuijali sana afya yangu kiasi cha kuwa na mabox ya vipimo vya H.I.V rapid test ghetto, ikiwa kama nimejichanganya basi nawahi dawa za PrEP.

Dawa za PrEP nimemeza round mbili yaani 2017, 2020 baada ya kucheza rough.

Nilikuwa napima maambukizi na mwenza wangu mara kwa mara, hivi sasa mwenza wangu anamalizia masomo ili mwakani July tuanze kuishi pamoja. Sasa mwezi Agosti mwaka huu nimekutana na mwanamke ambae tunameet na kusekx na huwa tunacheki afya, sasa mwezi huo nikapuuza kwakuwa tulicheki afya mwezi May nikamla then maisha yakaendelea.

Mwezi Octoba juzi tu nikajaribu kupima peke yangu ghetto nikakutana na mistari miwili CONTROL na 1, nilipima zaid ya mara tano hapo hapo gheto inasoma mistari miwili. Dah pressure ikawa kubwa.

Nikaenda Hospital napo inaonesha nipo POSITIVE, wakanianzishia dawa za ARV's hadi sasa ninamaliza wiki tangu nianze dozi za ARV's. Next wiki wananianzishia na dozi ya miezi sita ya Anti-T.B...

Juzi nipo YouTube nakuta kuna shuhuda nyingi sana kwamba kuna Mtaalamu anaponesha hili janga from POSITIVE to NEGATIVE anaitwa TR. MSIGWA, jamani waungwana kuna yeyote mwenye hakika na hili jambo hata ndugu yake alipata kupona kwa huyu docta maana kichwa kinawaka sahizi sielewi, nikapata mawasiliano yake akaniambia dozi ni shilling 280k ya siku 45 inaitwa (4A9).

Wajameni hivi ili suala lina ukweli dawa hiyo ya Asili inasaidia kwa yeyote aliyawahi pata experience hii hata kwa ndugu yake kuhusu uyu mtaalamu TR. MSIGWA na dawa yake ya 4A9 maana nina wiki tu tangu nianze kumeza ARV's lakini nahisi hali ya kuzichoka tayari.

Nawasilisha:
Lipia TANGAZO
 
DR. Msigwa niliangalia mahojiano yake kwenye Tv alisema NIMR wamemzungusha.

Labda nenda katibiwe ukirudi umepona tuitumie kesi yako kama ripoti ya mtu mmojammoja anecdotal evidence

Na nipo interested kama kuna mtu ametibiwa na Dr Msigwa akapona hebu ailete ripoti yake hapa!

Na kama ndo wewe mwenyewe Msigwa uloandika au chawa wake, naomba jazeni hii uzi kwa shuhuda halisi. Asanteni
Kwani boss msigwa ameukwaa🙂😳
 
Habari wanaJF, mimi ni kijana niliyekuwa ninajichunga na kuijali sana afya yangu kiasi cha kuwa na mabox ya vipimo vya H.I.V rapid test ghetto, ikiwa kama nimejichanganya basi nawahi dawa za PrEP.

Dawa za PrEP nimemeza round mbili yaani 2017, 2020 baada ya kucheza rough.

Nilikuwa napima maambukizi na mwenza wangu mara kwa mara, hivi sasa mwenza wangu anamalizia masomo ili mwakani July tuanze kuishi pamoja. Sasa mwezi Agosti mwaka huu nimekutana na mwanamke ambae tunameet na kusekx na huwa tunacheki afya, sasa mwezi huo nikapuuza kwakuwa tulicheki afya mwezi May nikamla then maisha yakaendelea.

Mwezi Octoba juzi tu nikajaribu kupima peke yangu ghetto nikakutana na mistari miwili CONTROL na 1, nilipima zaid ya mara tano hapo hapo gheto inasoma mistari miwili. Dah pressure ikawa kubwa.

Nikaenda Hospital napo inaonesha nipo POSITIVE, wakanianzishia dawa za ARV's hadi sasa ninamaliza wiki tangu nianze dozi za ARV's. Next wiki wananianzishia na dozi ya miezi sita ya Anti-T.B...

Juzi nipo YouTube nakuta kuna shuhuda nyingi sana kwamba kuna Mtaalamu anaponesha hili janga from POSITIVE to NEGATIVE anaitwa TR. MSIGWA, jamani waungwana kuna yeyote mwenye hakika na hili jambo hata ndugu yake alipata kupona kwa huyu docta maana kichwa kinawaka sahizi sielewi, nikapata mawasiliano yake akaniambia dozi ni shilling 280k ya siku 45 inaitwa (4A9).

Wajameni hivi ili suala lina ukweli dawa hiyo ya Asili inasaidia kwa yeyote aliyawahi pata experience hii hata kwa ndugu yake kuhusu uyu mtaalamu TR. MSIGWA na dawa yake ya 4A9 maana nina wiki tu tangu nianze kumeza ARV's lakini nahisi hali ya kuzichoka tayari.

Nawasilisha:
Umeambukizwa UKIMWI juzi tu unapata nguvu ya kuandika humu, ebu acha kutuchezea akili bhan sisi siyo watoto wadogo
 
Back
Top Bottom