Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Kukata tamaa ni simu kabisa. Hebu nenda maombi; achana na mambo ya kienyeji. Ukibadilisha attitude na kuwa positive hata kama unakufa utakufa maisha ya furaha kabisa.

Mungu akusaidie
 
Mbona upo kimya sana rafiki?
Unasoma kimya kimya au ndo upo kufani? au matibabuni?
Pole sana na nasikitika kwa moyo hasa...ni basi tu!
Ukiweza tuambie basi japo neno !
Namuomba Mungu akupe wepesi na ahuweni...angaak kama ni kifo basi kisiwe na maumivu yaliyoshindikana!
Nayajua maumivu.......nayajua....mmh...
 
be strong ,keep faith..........but who is a doctor?........jus human being as you are......so he has changed his professional and become prophet? .......no......ignore him
siku hizi hasa ughaibuni wanakuambia peupe. Ni vizuri ili kujiandaa
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
jitahidi usome hii pamplet halafu kwa maswali yako yote kuhusu wafu wanakwenda wapi,ubatizo ni nini,magonjwa na tumaini la Yesu ukiwapata watakufundisha vzr sana ,usipuuzie.
 
Attachments

  • tiba ya kifo.pdf
    479.3 KB · Views: 70
Niliambiwa nikipatiwa good medication naweza kuishi hadi miezi nane. Lakini matibabu ni gharama kubwa na sihitaji msaada niko Kwenye critical stage na napata maumivu makali sana. Nahisi ni vema nife nipumzike.
Mkuu usiseme hivyo.
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
MUNGU anaponya kwa Jina la YESU KRISTO. HE sent his Word, to heal our diseases.
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
katika uzi wakonwa mwanzo kuna mdau alitoa ushuhuda kuhusu Mold ulifuatilia?
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
Bado miezi mitatu mkuu,,,uko salamaaa kweli mpaka sasa maaana naona uko kama kmyaaa hv?..

Alafu hyo cancer naambiwa kuwa ukiwa na HIV ndo wengi huwa wanapata hyo cancer stage 4 inamaana wewe upo hatarini kufa.

Pole sanaaa mkuu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom