smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,405
- 2,836
Mkuu nimesoma post vizuri tu hakuna nilipokosea kusoma ni kuwa kama alivyosema yy kuwa daktari kamuandikia ripoti kuwa atafariki baada ya miezi 4 na nimekujibu vizuri tu labda urejee post yangu tena!