Ngumi ya gizani mkuu. Umempa za kutosha. Atafakari achukue hatua. Dogo inaonekana anapenda kulima mashamba yaliyoanzishwa. Mashamba bikira anaogopa kukatua.Sio mke wa kaka yako kaambiwa akurithi ww baada ya familia kukuona domo zege?
Mshauri mkuu, anaweza badili maamuzi.Yaani umekuja kutafuta majibu kwa swali ambalo tayari umesha jijibu...[emoji45] [emoji45]
Sasa... kwani unataka sisi tukushauri nini akati, tayari umesha fanya maamuzi...[emoji53] [emoji53]
Inaonekana umeridhika.Ndio nasubiri kusikia atawajibu vipi akina mama.
Japo hakuwahi nishuhudia na tabia zangu za kihuni, nilikuwa namficha sana.
Kiufupi hatujawahi gombana, nilikuwa nikija kwa broh lazima nilete mapochopocho.
Aliniambia nitakuja kuwa baba mzuri
Ili nimshauri, labda kwanza anitumie picha na namba ya huyo shemeji wake PM......[emoji12] [emoji12]Mshauri mkuu, anaweza badili maamuzi.
Pia waweza mpa moyo juu ya maamuzi yake
Mkuu kama yuko mswano we kula tu !Usisahau kutupa mrejeshoHabari wana jamvi,
Jana ilikuwa arobaini ya kaka yangu. Kaka alifariki kwa ajali. Kaacha mke na mtoto mwenye miezi 7 wakiume. Walioana mwaka jana.
Mimi ndie nilie mfata broh na ni wa mwisho. Tunatofautiana miaka 3.
Mimi bado sijaoa, na wala sina mchumba zaidi ya mademu ambao sina malengo nao.
Sasa katika kikao cha wazee leo asubuhi, ndio likaja hilo wazo kwamba binti huyu ana mtoto wa miezi 7, hana kazi atakwenda wapi na ataishi wapi? Na pia familia yetu ilimpenda sana na haiko tayari kuja kushuhudia kuolewa na mtu mwingine baki.
Baba ana nyumba mbili Dsm bado alikuwa ajatukabidhi, moja itakuja kuwa yangu, nyingine angepewa kaka, lkn ndo mauti yashamkuta.
Na kiukweli sisi wachaga hatupendi kupoteza mtoto. Ndipo wazee wakaniita na kuniuliza kama nina mchumba, nikawajibu hapana.
Wakanieleza kwa taratibu za mila na desturi za zamani hali kama hii ikitokea ina bidi mdogo mtu arithi jukumu la kaka ili gurudumu liende mbele.
Nilipokuwa namwazia shemeji angu ambae ni mke wa kaka angu jinsi alivyo poa na bado anaita, nikaona sio mbaya kupokezana vijiti.
Kiukweli mimi na shemeji yangu tulikuwa tunaheshimiana sana, kila mara alikuwa anauliza nitaoa lini. Alikuwa kama rafiki yangu, japo sikuwahi waza jambo kama hili laweza kuja tokea.
Wazee wameamua kuwatafuta wa mama wa makamo wamweleze shemeji jambo hili waone msimamo wake.
Kwa upande wangu sina tatizo kabisa, kwani kwa tabia yake, ukarimu, upendo kwa marehemu kaka, namuona ni mke mwema ambae naweza ishi nae.
Nasubiria kikao cha Akina mama na shemeji juu ya maamuzi yake.
Vipi wadau, kwa huko kwenu huu utaratibu upo?
Kwa wewe binafsi unaichukuliaje?
Nitaleta mrejesho mkuu!!Mkuu kama yuko mswano we kula tu !Usisahau kutupa mrejesho
Hapana mkuu,
Bwashee ulishaanza kutafuna shemeji yako kabla ya kifo cha kaka si ndio?
Sawa mkuu, ngoja nisubiri majibu yakeKila la kheri kaka wasikuvunje moyo kama anatabia njema msimpoteze kwenye mikono salama ya familia kubwa hujalinzisha ww wazee wenyewe ndio wamekupa baraka endeleaa usisahau kutupa mrejesho
HahahahhaaIli nimshauri, labda kwanza anitumie picha na namba ya huyo shemeji wake PM......[emoji12] [emoji12]
Mimi kiukweli hisia zimeanza kunijiaa, [emoji85][emoji85][emoji85]Inaonekana umeridhika.
Kwann mkuuHapana kwakweli..kurithiwa na shemeji yangu haitotokea
Pamoja mkuuUmeamua uamuzi sahihi huyo mtoto ni damu yako,chukua usukani endesha gurudumu.
Mtakuja kuishi Dar au?Nitaleta mrejesho mkuu!!
Nimecheka mno *****[emoji16]Sio mke wa kaka yako kaambiwa akurithi ww baada ya familia kukuona domo zege?
Tutakuja Dar mkuu,Mtakuja kuishi Dar au?
Hizi mila zina hasara na faida zake
Kwa heshima niliyonayo kwa Shem wangu..siwezi ruhusu hiyo kituKwann mkuu