Nyege haziishi ila pesa zinaisha!, Hivyo nijukumu langu kutafuta chakumaliza kati ya hivyo viwili!.
Binafsi sijajibu chochote nimeliacha lielee hivyohivyo!, Mi mambo ya walimwengu yameshanishinda!.
Niwatakie siku njema yenye hulka,furaha na mafanikio!.
π΅ desperado,Mh! unatumia..?
Wachana na mapenzi uje huku tuenjoy maisha,. Weekend tuianze kuanzia leoπ€π»Haha! leo aliekugusa mwambie akuguse tena hapohapo maana sio kwa shangwe ulilonalo!..π
Haha! simba akiwa south...πHata kwetu wapoo nikuishi nao Kwa akilii tuu mkuuView attachment 3314222
Sawaa,. We si unapenda matatizo.......Uinjoi na nani we si wakunywa uji tu sahivi lione...π
Amekuambia ukweli wala usisikitike.Nyege haziishi ila pesa zinaisha!, Hivyo nijukumu langu kutafuta chakumaliza kati ya hivyo viwili!.
Binafsi sijajibu chochote nimeliacha lielee hivyohivyo!, Mi mambo ya walimwengu yameshanishinda!.
Niwatakie siku njema yenye hulka,furaha na mafanikio!.