Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,886
- Thread starter
-
- #101
Why kakuacha? Take time and relax, jichanganye na marafiki, fanya mazoezi na epuka kukaa peke yako. Mwisho mshukuru mwenyezi Mungu maana hujui amekuepushia nini. Japo itakuumiza kwa muda but after sometimes utakuwa poa. Maisha yataendelea tu
nshakubaliana na matokeoKubali kuwa umeachwa kwanza,.
wanaotoa ushauri WA kutia moyoWenzangu wakina nani?
kwa nini usianze leo? au leo unaangaika kuomba msamaha?ameen..thanks alot kesho naanza maisha mapya. Bila yeye
kwake naweza kua sina thamani..Jiue huna thamani tena.
hahahahahahaha hiyo Baba ilikua Jana..leo nipo sawakwa nini usianze leo? au leo unaangaika kuomba msamaha?
poa kaka asante..Pole ni mojawapo ya hatua katika ukubwa,
Lakini si wote watapitia yote hayo ila wengu hukumbana na hali hiyo.
Kila jambo lina uzuri na ubaya wake concentrate katika yale chanya yalitwayo na hali hiyo
We huna thamani kwa yeyote yule....kwake naweza kua sina thamani..
We huna thamani kwa yeyote yule....
Yeye yuko perfect tatizo wewe ndiyo huna swagga.Mama,my family,cool friends..they have my back..nina thamani and yy Ni cheap tukashindwana.
that's what am doing mkuu..mdogomdogo ntakua sawaWasha radio sikiliza mziki lia ukimalza futa machozi anza upya ..its ok to start a fresh
swagga Ni nini..i made her look fly..yeye ndio hana swaggerYeye yuko perfect tatizo wewe ndiyo huna swagga.