Nimeachwa tena

hapo hamna hata ulichokosea labda tu kuwe na sababu nyingine ambayo hatuijui
 

Alikua anakutafutia sababu na wewe ukampa ushirikiano
Utapata atayekufaa na anayekuhitaji wewe tulia
 
Alikupigia simu umpelekee funguo ...kwa maana kwamba yeye hakua nazo. Lakini uliporudi ukakuta amejifungia ndani? Au alivunja kitasa akatengeneza usiku huo huo?
Mimi ndio sijaelewa au wewe ndio haujaeleweka?
Kuna information haijakamilika hapa. Hapa ni kunywa mtori tu, nyama ziko chini
 
Hajawahi kukupenda..pole sana
 
Inawezekana ni mwendelezo wa dharau hii ni stori ya upande mmoja .
-Inawezekana mtoto aliachwa kwa jirani Tena usiku kisa arusi
-Inawezekana machale yamemcheza tu mtu na mke wake bwana
.Wewe umeoa?
Lazima story ya upande wa pili ipatikane, hizi harusi, kitchen party, saloon zile za nyumbani kwa mtu bila kusahau Safari za kulala kwa mama mdogo au shangazi au kwa rafiki kipenzi zinatumika Sana siku hizi.

Unahitaji umakini Kuna wanawake mafia wanatumia hii loop vizuri Sana.

Mimi mke wangu halali hata siku moja kwa rafiki ambaye hajaolewa na akilala kwa rafiki aliyeolewa lazima huyo rafiki yake na mume wake wote niongee nao, yaani niwasalimie na kuwaomba alale hapo kwa inconvenience.

Halafu mume akikuambia Rudi nyumbani Rudi tu inampa nguvu sana. Hakuna kitu inawakera wanaume kama akikuambia Rudi halafu ukaendelea na shughuli zako. Wengi wanatafsiri ni dharau, na mwanaume akianza kukwambia unamdharau ujue umekalia kuti kavu.
 
Usikute mume nae anacomment humu humu.

Hafu anashikilia Ile kauli ya vijana msioe.
 
Wewe utakuwa muongo muongo.... Hukuwa na nauli , nauli ya kwenda kwa rafiki yako ulitoa wapi?
Mtoto mdogo ulienda naye kwenye harusi au mtoto uliibuka naye wapi ilihali hujafunguliwa mlango.

Pambana tu na hali yako- sometimes mnakuwa na mambo ya kiwaki sana
 
Hpo kukupa ushauri Lazima tumsikilize na uyo bwana Chabukati hatuwezi kutoa hukumu au ushauri bila maelezo ya upande wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…