Nimeachwa tena

Wewe ni MWANAUME?then unajisikiaje kuandika shit kumuhusu mwanaume mwenzako kama ulivyoandika kwa herufi kubwa hapo juu?

By the way kwa hilo gazette huko PM kwenu mmefikia wapi!?mmeshaanza kutumiana emoji za LOVE au bado maana kwa mipasho hiyo nahisi wiki huna utakuwa ushaopoa goma.
 
U

Ujinga Mtupu , huna akili, bichwa lako Lina matope ya kuvukia barabara tu .

Mimi ni Mwanaume nimeoa Mwanamke mzuriii mzuriiii mno, aliyenizalia watoto wazuriii mnoooo...

Kwa hiyo kwakua ni Mwanaume, na kwakua Kuna Mwanaume kafanya Maujinga, basi niongee maujinga ya kua upande wa Mwanaume mwenzangu??.

Mjinga mmoja wee, YOU ARE NOT SUPPOSED TO BE SO BLIND WITH YOUR MANHOOD THAT YOU CAN'T FACE THE REALITY ... BLACK IS BLACK, WHITE IS WHITE AND WRONG IS WRONG .


Wee ni Mmoja ya Wanaume wadhaifu, mbumbumbu, waoga wakila kitu , mnaopenda Wanawake wawasujudu hata kama unamtesa.

Na usikute, Humjali ..anakuvumilia.. Humtunzi...anakuvumilia... Na Kitandani uko Sifurii...anakuvumilia.

Lakini Sasa jeuri na Ukoloni ndo vimewajaa kuficha madhaifu ,ujuha, uzoba, na kushindwa kuwajibika Kwa wanawake zenu

Gubu gubu utadhan Paka aliyebanwa Mkia wake Kwa mlango.




And Yes.... Wanaume wa aina yako, dawa yako ni kukutana na Mwanamke Very independent, financially stable, Open minded, determined , practical, decided , stubborn , educated .... Mamaeeeee nakuhakikishia ATAKUTOA ROHO BILA HATA KUKUGUSA.

Mkitaka Wanawake majuha, Nendeni huko vijijin kwenu ndanindani hukoooo mchukue muwazalishe ,muwaache, ndo wataendelea kuwatafuta sababu Bila wewe hawana Maisha !!.



HUKO PM??? Matope yako kichwan yanakutuma kua ,nilivyoandika, lengo ni kutafuta a PM?.

Well ,, Tunaendelea vizuriiii sanaaa, mtoto kaivaa, yaan tumebakisha kulana, Unaonaje naweee uongezeke Tupige 3SOME , yaaan nawainamisha wote wawili kwenye kitanda ki-doggie doggie , weee nakupakia KY nakula hiyo Ndogo .


Au unasemaje baby gay ?
 
Rubbish!!
 
Kiukweli nilishawahi kuleta uzi wa kuachwa humu sema ni mda mrefu sana ndio maana nikaandika NIMEACHWA Tena.
Hii ni platiform ambayo huwa inanisaidia sana nnapokwama kimahusiano.

Nilitaka nisiandike ila umenigusa ngoja nikumbie...

Kwanza nahisi kuna vitu unaficha huvioni kua ni tatizo lakini ndo tatizo lenyewe.

Pili ye kukuruhusu bila ye kuwepo kwenye iyo harusi unaonesha hakupenda tu kubishana na wewe na alikua hamanishi kua huende sema we hukujiongeza kwa ilo unachukulia mambo simple kumbe ni serius.

Tatu nahisi umeshamchosha na vimambo mambo vingine ndo maana alikua anakusubilia tu na swala la mwanaume wako kulala ndani usiku wa saa6 we upo kwenye harusi inaonesha kiasi gani we sio muelewa kabisa na hutujui wanaume vizuri saikologia yetu na yamahusiano

Nne hakuna mwanaume baunsa mbele ya mwanamke anayejitambua(simaniishi kua kiburi) na anayejua nafasi yake kama mke nakuutumia vizuri huanamke wake.

USHAURI

Kwaushauri tuu ni kua usipende wanaume ovyo ovyo sio kila mwanaume anayekutongoza anakupenda, af kabla yakufikia hatua yakuzaa na mtu kwanza jiulize anaweza kukuhudumia au utawezaje kujihudumia pale mwanaume apofanya jukum lake bas usimkwaze na kuhitaji viela vidogodogo kos utakuja kusema unasimagwa usipotumia akili kuipata ela ya mwanaume ili kukeep uzuri wako na kutonyesha kumtegemea sana mwanaume.

Na hapo hua mnafeli sana kabla yakuingia kwenye ndoa jiulize utakua unapataje ela za kujistiri na vitu vidogo vidogo si wanaume tunapenda vitu vyenye hadhi kutuzidi na ambavyo ni ndoto zetu kwaiyo jitahidi kua mwanamke wa ndoto yake huone kama izo out ataruhusu huende mwenyewe lazima atake mwende wote(UNAKAA NA MWANAUME UNAMWONESHA KESHAKUPATA HUNA UJANJA NA HAUNA SWAGA ZOZOTE TENA KWENYE NDOA!
) kilasiku mfanye haamini uyu mwanamke nisipomtunza watamuiba mixer wivu
ndo maana siwanaume tukibahatisha pisi imesimama afu inajielewa hatufanyi mchezo tunaitunza kweli kweli hataizae watoto kumi
na hata ikitokea unaona inadalili za kusaliti anaona kumwacha au kujiua mwenyewe tu hapana watu watafaidi
ndo maana unakuta mtu anajiua na pisi yake.

Kajiulize kidogo kwanini ZARI alipendwa na simba na wakati ni mzee ila KIBINTI hamisa alikua akiwekwa onback na matusi juu
.

THAMANI YENU WANAWAKE IPO KWENYE TABIA NA MWILI WAKO.

Nakutakia safari njema kwenye mahusiano yajayo.
 
Angalau ingekua ndoa
lakini hajulikani hata kwetu
 
Umenigusa. Kweli ilikua mbele ya rafkiake nilimwambia ntarudi badae. Kweli kwenye maisha Kuna msemo wa 1 mistake 1 goal vile ambavyo nilizani labda ataielewa furaha yangu ya mtoko kumbe yy aliona nimemdharirisha. Nimeelewa na nitakubali matokeo sasa
 
Nimejifunza bro
 
Alitaka kukutimua ila sababu aliyoikosa kaipatia hapo
 

Hii ndo cost you kuwa cheap to a Man,, ni vyema kuwa ba mahusiano, ila wanaume Sio kila kitu na ni muhimu sana Dada zetu muelewe.

1. Huyo Kaka alikuwa Hakutaki hana hisia na wewe na amekuonyesha mara nyingi ila wewe tu hukutaka kuelewa.

2. Nimeachwa tena? This look like a trend, check your character closely, lazima una vitabia irritating tu.

3. Kila mwanaume at some stage anapenda kwa ukweli kabisa, ngumu sana kwa mwanaume anayependa Kuku great hivyo.

Cha kufanya:

1. Angalia sana tabia zako and closely pata maoni ya na x wako, utajua shida iko wapi.

2. Ondoa utegemezi kwa mwanaume kwa chochote, hisia, makazi, fedha na kila kitu.

3. Make sure you fall in love natural, do not force to heal your pain, no, fall natural to a man!
 
Key word ni DHARAU.

Huyu dada ameambiwa arudi nyumbani akaona sherehe ni big deal. Angerudi aepushe mengine.

Japo mwamba nae amezidisha. Hiyo sio sababu pekee ya kumuacha mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…