nikiwa ugenini nakula kistaarabu sana,japo kiukweri kwenye hii idara nipo fiti kias..
Mfumuko wa bei ndugu yangu, hata hivyo amekuheshimu sana, angeweza kukupa liveLeo nimeenda kumtembelea rafiki yangu mchana huu nyumbani kwao,tumepiga stori sana.basi chakula cha mchana kilipotengwa mezani ghafla akaniomba nimsindikize dukani nami nikamkubalia,ila tumefika dukani ananiambia nimsubiri amesahau pesa nyumbani...sasa ni mda kidogo tangu aniache hapa..naomba msaada ndugu zangu hii inamaanisha nini?
Leo nimeenda kumtembelea rafiki yangu mchana huu nyumbani kwao,tumepiga stori sana.basi chakula cha mchana kilipotengwa mezani ghafla akaniomba nimsindikize dukani nami nikamkubalia,ila tumefika dukani ananiambia nimsubiri amesahau pesa nyumbani...sasa ni mda kidogo tangu aniache hapa..naomba msaada ndugu zangu hii inamaanisha nini?
Wakati nilipoanza maisha nilikuwa nakaa kwenye chumba kimoja na nilikuwa na jirani yangu ambaye kila anaposikia jiko langu la stove linazima yeye aliingia chumbani kwangu na kuketi mezani na kula nami. Nilishindwa kumvumilia na nikaamua nitumie njia nyingine. Siku moja baada ya kumaliza kupika, sikuzima jiko bali nilikula mpaka nikamaliza chakula. Baada ya hapo nikazima jiko na yeye akaingia akakuta mimi naosha vyombo. Sasa hiyo huenda ina maanisha kwa upande mwingine kuwa wewe si mstaarabu unatabia za kama yule aliyekuwa akisubiri jiko kuzimwa. Badilisha mwenendo wako kama uko hivyo otherwise jamaa anatabia ya uchoyo.