Goldnessa JF-Expert Member Joined Apr 30, 2021 Posts 449 Reaction score 1,250 Jan 16, 2024 #101 The Eric said: Haya mambo huwa yapo kweli au ni uzushi tu. Click to expand... Kweli kabsa ulimwengu usionekana una mambo,yahitaji nguvu ya ziada sana kutambua..
The Eric said: Haya mambo huwa yapo kweli au ni uzushi tu. Click to expand... Kweli kabsa ulimwengu usionekana una mambo,yahitaji nguvu ya ziada sana kutambua..
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,555 Reaction score 11,251 Jan 16, 2024 #102 Goldnessa said: Kweli kabsa ulimwengu usionekana una mambo,yahitaji nguvu ya ziada sana kutambua.. Click to expand... Maana naambiwa na jini eti mahaba.
Goldnessa said: Kweli kabsa ulimwengu usionekana una mambo,yahitaji nguvu ya ziada sana kutambua.. Click to expand... Maana naambiwa na jini eti mahaba.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,312 Reaction score 109,411 Jan 16, 2024 #103 Maji unayo?
moannah Member Joined Jun 20, 2023 Posts 79 Reaction score 123 Jan 17, 2024 #104 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Kuna Watu wanasema una MKATABA wa mwaka mmoja
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Kuna Watu wanasema una MKATABA wa mwaka mmoja
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,098 Reaction score 8,205 Jan 17, 2024 #105 Pole sana.
1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 9,969 Reaction score 13,848 Jan 17, 2024 #106 Umepewa Thankyou kama akina Baleke 😂
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,680 Reaction score 18,584 Jan 17, 2024 #107 HV unafika umri wa miaka 38 bado ujaolewa unategemee nn
B budagala Member Joined Jun 11, 2015 Posts 93 Reaction score 181 Jan 17, 2024 #108 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Kubali tu halafu Nenda beach ukapate upepo wa bahari
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Kubali tu halafu Nenda beach ukapate upepo wa bahari
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,680 Reaction score 18,584 Jan 17, 2024 #109 FaizaFoxy said: Hana cha kujiuwa wala nini, mpaka binti awe na ujasiri wa kujiripuwa (kumvulia mtu chupi) huyo hakuna kinachoweza kumfanya ajiuwe. Click to expand... Nenda kamalize story ya bint wa karikoo ambe muhindi amewaoa wote na bint ake kisja kila mmoja kumpangia
FaizaFoxy said: Hana cha kujiuwa wala nini, mpaka binti awe na ujasiri wa kujiripuwa (kumvulia mtu chupi) huyo hakuna kinachoweza kumfanya ajiuwe. Click to expand... Nenda kamalize story ya bint wa karikoo ambe muhindi amewaoa wote na bint ake kisja kila mmoja kumpangia
J Judii Member Joined Jan 16, 2024 Posts 10 Reaction score 33 Jan 17, 2024 Thread starter #110 moannah said: Kuna Watu wanasema una MKATABA wa mwaka mmoja Click to expand... si kweli
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 36,336 Reaction score 30,926 Jan 17, 2024 #111 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Tulia mpaka June then ingia chimbo tafuta mwingine bila stress 🐒
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Tulia mpaka June then ingia chimbo tafuta mwingine bila stress 🐒
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 18,879 Reaction score 39,773 Jan 17, 2024 #112 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Nenda beach ukapunge upepo wa bahari.
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Nenda beach ukapunge upepo wa bahari.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Jan 17, 2024 #113 Ulweso said: Hilo nalo akalitizame huenda anaomba mno mtu anaamua kukimbia, anapeleka mtoto shule ya gharama halafu pesa ya kuomba lazima ukimbiwe Click to expand... Tunaishi juu ya vipato vyetu.
Ulweso said: Hilo nalo akalitizame huenda anaomba mno mtu anaamua kukimbia, anapeleka mtoto shule ya gharama halafu pesa ya kuomba lazima ukimbiwe Click to expand... Tunaishi juu ya vipato vyetu.