Majuba siyo sheria Kiislam, ni mapendeleo tu ya mtu.
Uislam umehimiza Hijaba, hijab maana yake ni kuwa "modest", yaani mavazi yenye maadili mema, ysiyoweza kukera wala kutamanisha watu. Katika mavazi hilo ni kwa mwanamke na mwanamme.
Yale majuba mimi sijawahi kuvaa n awala sielewi maana yake nini? Labda ingekuw nchi ha baridi ningezema wanajikinga na baridi. Joto hili, mijuba, mosksi, mi gloves/ Aah, hiyo siyo mila wala desturi ya Kiislam.
Uislam unaenda na wakati, mradi tuwe "modest".