ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,565 Reaction score 119,628 Jan 16, 2024 #41 Kila January unaachika? Ujue huu ni mwezi wa changamoto sana, hasa kiuchumi, kama ni msumbufu sana kipindi hiki hasa kwenye finances kuachwa ni lazima.
Kila January unaachika? Ujue huu ni mwezi wa changamoto sana, hasa kiuchumi, kama ni msumbufu sana kipindi hiki hasa kwenye finances kuachwa ni lazima.
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 16,543 Reaction score 18,651 Jan 16, 2024 #42 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Kwa hiyo unataka kufanyeje? Umeshagundua shida yako ni nini? Kwa nini wanakutumia halafu wanakuacha?
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Kwa hiyo unataka kufanyeje? Umeshagundua shida yako ni nini? Kwa nini wanakutumia halafu wanakuacha?
Missy Gf JF-Expert Member Joined Oct 30, 2022 Posts 5,593 Reaction score 15,752 Jan 16, 2024 #43 Khaa hata mwaka haujachanganya
M Miss_Mariaah JF-Expert Member Joined Nov 9, 2022 Posts 2,243 Reaction score 5,140 Jan 16, 2024 #44 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Pumzika na mahusiano kwanza
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Pumzika na mahusiano kwanza
Kommando muuza madafu JF-Expert Member Joined Aug 30, 2022 Posts 3,434 Reaction score 7,644 Jan 16, 2024 #45 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Acha umalaya, tulia na mungu atakupa mwenza wa maisha. Jitunze na jiheshimu kuna UKIMWI. Muda wa nungu ukifika unapata mwenza wa maisha yako.
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Acha umalaya, tulia na mungu atakupa mwenza wa maisha. Jitunze na jiheshimu kuna UKIMWI. Muda wa nungu ukifika unapata mwenza wa maisha yako.
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,885 Reaction score 8,478 Jan 16, 2024 #46 Tafuta Mpenzi wako, ikifika misimu ya wapendanao wenye mtu wao huja kumchukua.
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,299 Reaction score 60,931 Jan 16, 2024 #47 Ivan Stepanov said: kwan walianza ku date mwaka mpya? 😂😂. Anyway cha muhim kiungo huwa kinajirud saiz yake baa inatosha ..akampe mwingine agonge gonge Click to expand... Ahahahah... Asa hiyo ya kila January mbona hatari 😃😃
Ivan Stepanov said: kwan walianza ku date mwaka mpya? 😂😂. Anyway cha muhim kiungo huwa kinajirud saiz yake baa inatosha ..akampe mwingine agonge gonge Click to expand... Ahahahah... Asa hiyo ya kila January mbona hatari 😃😃
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Jan 16, 2024 #48 antimatter said: Wewe ni Ke au Me? Click to expand... Judi?
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,985 Reaction score 21,236 Jan 16, 2024 #49 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Wewe ni ke au me!!?I'd haisadifu Kwa uwazi!coz nimemkumbuka judicate!!
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Wewe ni ke au me!!?I'd haisadifu Kwa uwazi!coz nimemkumbuka judicate!!
J Judii Member Joined Jan 16, 2024 Posts 10 Reaction score 33 Jan 16, 2024 Thread starter #50 meseji kasema ana mke wake na watoto wake wakubwa😭😭😭
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Jan 16, 2024 #51 Ivan Stepanov said: ATakua hana mambo ndio shida..show za ng'ombe mbuzi hawez kaa Click to expand... 😅😅😅😅😅😅ajifunze kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano mengine
Ivan Stepanov said: ATakua hana mambo ndio shida..show za ng'ombe mbuzi hawez kaa Click to expand... 😅😅😅😅😅😅ajifunze kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano mengine
Mbishi Uswazi Senior Member Joined Feb 7, 2020 Posts 175 Reaction score 338 Jan 16, 2024 #52 Mtafute umashushie kichapo kizito alafu toka nduki
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jan 16, 2024 #53 Mkome kumvulia mtu chupi kabla ya kufunga ndoa.
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,299 Reaction score 60,931 Jan 16, 2024 #54 FaizaFoxy said: Mkome kumvulia mtu chupi kabla ya kufunga ndoa. Click to expand... Mamkubwa punguza sauti basi, atajiua binti WA watu😃😃
FaizaFoxy said: Mkome kumvulia mtu chupi kabla ya kufunga ndoa. Click to expand... Mamkubwa punguza sauti basi, atajiua binti WA watu😃😃
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,970 Reaction score 7,667 Jan 16, 2024 #55 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Njoo tuliwazane
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Njoo tuliwazane
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jan 16, 2024 #56 Leejay49 said: Mamkubwa punguza sauti basi, atajiua binti WA watu😃😃 Click to expand... Hana cha kujiuwa wala nini, mpaka binti awe na ujasiri wa kujiripuwa (kumvulia mtu chupi) huyo hakuna kinachoweza kumfanya ajiuwe.
Leejay49 said: Mamkubwa punguza sauti basi, atajiua binti WA watu😃😃 Click to expand... Hana cha kujiuwa wala nini, mpaka binti awe na ujasiri wa kujiripuwa (kumvulia mtu chupi) huyo hakuna kinachoweza kumfanya ajiuwe.
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,606 Reaction score 8,264 Jan 16, 2024 #57 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... tueleze vizuri wewe ni me au ke?
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... tueleze vizuri wewe ni me au ke?
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,299 Reaction score 60,931 Jan 16, 2024 #58 FaizaFoxy said: Hana cha kujiuwa wala nini, mpaka bingti awe na ujasiri wa kujiripuwa (kumvulia mtu chupi) huyo hakuna kinachoweza kumfanya ajiuwe. Click to expand... Ila wanaume sikuizi wamekua waongo Sana tatizo.. sijui wamemfanya Nini Dada WA watu
FaizaFoxy said: Hana cha kujiuwa wala nini, mpaka bingti awe na ujasiri wa kujiripuwa (kumvulia mtu chupi) huyo hakuna kinachoweza kumfanya ajiuwe. Click to expand... Ila wanaume sikuizi wamekua waongo Sana tatizo.. sijui wamemfanya Nini Dada WA watu
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 12,593 Reaction score 35,853 Jan 16, 2024 #59 Ebooooo
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jan 16, 2024 #60 Leejay49 said: Ila wanaume sikuizi wamekua waongo Sana tatizo.. sijui wamemfanya Nini Dada WA watu Click to expand... Matatizo siku hizi yanaanzia nyumbani ndiyo maana uasherati na uzinzi unazidi. Wanawake wengi wanaanza kuvuliwa chupi na watu wao karibu kabisa, na wanaume ni hivyohivyo. Watu wanadharau masomo ya dini amabayo yanafundisha maadili, ndiyo matokeao yake hayo.
Leejay49 said: Ila wanaume sikuizi wamekua waongo Sana tatizo.. sijui wamemfanya Nini Dada WA watu Click to expand... Matatizo siku hizi yanaanzia nyumbani ndiyo maana uasherati na uzinzi unazidi. Wanawake wengi wanaanza kuvuliwa chupi na watu wao karibu kabisa, na wanaume ni hivyohivyo. Watu wanadharau masomo ya dini amabayo yanafundisha maadili, ndiyo matokeao yake hayo.