J Judii Member Joined Jan 16, 2024 Posts 10 Reaction score 33 Jan 16, 2024 #1 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 28,749 Reaction score 91,825 Jan 16, 2024 #2 Kama Kuna vitu vyako uliwahi mnunulia ..nenda getoni mwake ukavichukue !!. Alafu temana naye.
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,542 Reaction score 23,856 Jan 16, 2024 #3 Ukiachwa Achika. Tafuta kazi genuine, Ishi maisha yako
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,295 Reaction score 60,916 Jan 16, 2024 #4 Mbona mapema😂😂
Queen Kan JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,302 Reaction score 9,095 Jan 16, 2024 #5 Mkuu hata mwezi wa wapendanao haujafika umeshaachwa
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,075 Reaction score 111,673 Jan 16, 2024 #6 Maumivu yakizidi muone daktari
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jan 16, 2024 #7 Tafuta pesa.
black flowers Member Joined Jan 16, 2024 Posts 64 Reaction score 217 Jan 16, 2024 #8 Mapenzi yana wenyewe bob.
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,852 Reaction score 26,988 Jan 16, 2024 #9 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Sasa mbona ni kama umekuwa kirakaa?Tafuta shida ilipo😎
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Sasa mbona ni kama umekuwa kirakaa?Tafuta shida ilipo😎
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Jan 16, 2024 #10 Pambana naye kimila, atakuachaje hivi hivi?
Binti kisauti Member Joined Dec 5, 2023 Posts 62 Reaction score 133 Jan 16, 2024 #11 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Achana na mapenzi jikite kwenye kilimo utakuja kunishukuru
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Achana na mapenzi jikite kwenye kilimo utakuja kunishukuru
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 15,973 Reaction score 18,442 Jan 16, 2024 #12 Pesa Pesa Pesa
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 49,717 Reaction score 130,633 Jan 16, 2024 #13 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Wewe ni Ke au Me?
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Wewe ni Ke au Me?
Sir Carter JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 631 Reaction score 1,417 Jan 16, 2024 #14 Kama kwa mara tatu mfululizo, kila mwaka unaachwa mwezi huu wa kwanza. Kaa kwa kutulia jitathmini kuna shida mahali kwako ambayo bado hujaigundua.
Kama kwa mara tatu mfululizo, kila mwaka unaachwa mwezi huu wa kwanza. Kaa kwa kutulia jitathmini kuna shida mahali kwako ambayo bado hujaigundua.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,807 Reaction score 118,934 Jan 16, 2024 #15 Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Mapenzi hayalazimishwi binti. Ukiendelea na huu ubishi wako, utaachwa mpaka ukome.
Judii said: 2022 mwezi wa kwanza niliachwa mwaka ukaisha single, 2023 nikaachwa mwezi kama huu Na mwaka huu tena mwezi wa kwnza nimeachwa sikubali Click to expand... Mapenzi hayalazimishwi binti. Ukiendelea na huu ubishi wako, utaachwa mpaka ukome.
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,852 Reaction score 26,988 Jan 16, 2024 #16 Tate Mkuu said: Mapenzi hayalazimishwi binti. Ukiendelea na huu ubishi wako, utaachwa mpaka ukome. Click to expand... Isije ikawa binti mwenyewe ni binti jeuri halafu anakuja kulia jukwaani humu
Tate Mkuu said: Mapenzi hayalazimishwi binti. Ukiendelea na huu ubishi wako, utaachwa mpaka ukome. Click to expand... Isije ikawa binti mwenyewe ni binti jeuri halafu anakuja kulia jukwaani humu
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 8,247 Reaction score 25,191 Jan 16, 2024 #17 Unamaagano ya ukoo huko kwenu, yawezekana upande wa mama au baba... Maagano ya uchawi wa mizimu... Usipovunja hata ukiolewa utaachika...
Unamaagano ya ukoo huko kwenu, yawezekana upande wa mama au baba... Maagano ya uchawi wa mizimu... Usipovunja hata ukiolewa utaachika...
Powell Gonzalez JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 1,558 Reaction score 2,723 Jan 16, 2024 #18 Ngoja waje kukupa muongozo akina Intelligent businessman Mjanja M1 Natafuta Ajira
Powell Gonzalez JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 1,558 Reaction score 2,723 Jan 16, 2024 #19 black flowers said: Mapenzi yana wenyewe bob. Click to expand... na wenyewe ndio sisi
J June 16 Member Joined Dec 27, 2023 Posts 7 Reaction score 12 Jan 16, 2024 #20 Njoo inbox uniambie tatzo nini