JaphetJacob
Senior Member
- Dec 11, 2015
- 106
- 121
Anataka vidaka chozi mumliwaze au mumuonee hurumaSasaa namba tenaa..tunafanyaje hapo kwenye namba mkuu??
OhoooAnataka vidaka chozi mliwaze
Asante sana mkuuEpuka mazingira ya upweke, penda kujichanganya na watu jitaidi kujiweka busy, ondoa vitu vyake vyote uli yonavyo karibu yako, tambua ulikuwa maisha kabla yake na unatakiwa uwe nayo ata baada ya kuachana nae
Nipo Daruna umri gani na upo wapi?
una umri gani na upo wapi?
Hujasema umriNipo Dar
Mkuu upo single au bado hujamuacha?hujasema umri
NishamuachaMkuu upo single au bado hujamuacha?
PM ipo Wazi mkuu?nshamuacha