Nimeachwa na mpenzi wangu

Nimeachwa na mpenzi wangu

Mpenzi wangu kaniacha bila sababu ya maana kisa anataka ku struggle na life yeye mwenyewe nimembembeleza lakini hanitaki tena naumia sana.
 
Kuna vitu vibaya au tabia mbaya ameiona kutoka kwako akaamua kujitoa mapema kabla haijafika jioni.
 
Been loving this Girl All my Life i thought she will be my future wife and now she leaves me in pain without any reason
 
Aaaaah........sasa usituchoshe........hii thread ya ngapi unafungua kuwa umeachwa........wewe sio wa kwanza bana.........
 
Tajiri mtata mbona thread mbili za kuachwa! Pole anyway!
 
Mpenz wangu kaniacha bila sababu ya maana kisa anataka ku struggle na life yeye mwenyewe nimem bembeleza lakini hanitaki tena naumia sana

Duuuuu mwanamke anayependa kustruggle kwa njia halali nampenda sana, hiyo ni lulu ishikilie vizuri kuna mahali utakuwa unamkosea. Watu kama hao wanataka mwanamume mpambanaji sasa jichunguze kama uko lazy lazima akukimbie.
 
Nimeachwa na mpenzi wangu niliyempenda toka tukiwa wadogo naumia sana,
Hakuna mapenzi ya udogoni mlikuwa mnapita stage ya ukuwaji tu. kama wewe ni Me tafuta pesa tu ndio jambo la muhinu mengine yatajiseti yenyewe mbele kwa mbele.
 
Been loving this Girl All my Life i thought she will be my future wife and now she leaves me in pain without any reason
pole sana but ni sehemu tu ya maisha ,umeandaliwa hivyo ili siku ukimpata mkweli iwe zawadi kuu toka kwa mungu mwamini mungu atakupitisha ktk hilo gumu na utashinda muombe mungu akuoneshe mtu sahihih
 
Kaniacha ananiambia anataka a struggle na life mwenyewe nimemwambia si tu struggle wote kakataa kaniacha , i still love Her , Bado nampenda sana na namwitaji kwenye maisha yangu.(tunaumbali ila hatujaonana karibia mwaka mmoja sasa yeye yupo shule)
 
Back
Top Bottom