Nimeachwa na mpenzi wangu

Nimeachwa na mpenzi wangu

mimi nimeachwa juzi tu hapa yani nnavyojisikia Mungu ndo anajua
 
mkuu pole sana,,hata mm juzi kati kuna mtu nimemwagana nae
muda huu napost hapa nimeachwa na aliyekua girlfriend wangu tuliyedumu kwenye mahusiano zaidi ya mwaka sasa.

Ningejua ningelala mapema tu huenda nisingeachwa usiku huu.

kisa cha kuniacha ni haya mapenzi ya umbali mrefu yaani long distance relationship. sasa nadhani huko amepata kijana anamtreat vizuri basi mm nikasahaulika. Hatujagombana wala nini ila ameamua kuniacha eti anaona hana chembe chembe tena za mapenzi.

nimeumia kidogo......nishaachwa mara nyingi kwa hyo nishazoea maumivu ya kuachwa ndio maana sijaumia sana.

kesho naamka nikiwa singo. yote maisha
 
Bora amekwambia Ukweli mapemaa...!! Move on bro naamini kwa huo umbali hata wewe Hukosi mchepukoo
 
mmh we Demiss nahisi sitakuweza. huwa nakujuchukulia kama danga fulani hivi. yaan tayari nimejijengea fikra kua ww ni jimama jeupe unavaa vikuku mguuni. nahisi sitakuweza[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi namuwaza hivyo hivyo halafu anakunywa sana bia na ana kitambi cha mchemsho
 
Blaza pole sana.
Na mimi hapa nipo katika hatua za kutalikiana. Long distance relationship ni next to impossible, good thing ni kuwa I know a lot of shit ambazo amekuwa akifanya na sijawahi kumwambia. nimevumilia but recently naona anachukulia advantage kwa kunilaumu kwa kila jambo kiasi cha kutoa lugha za matusi. Nimekuwa nakaa kimya na kumsikiliza only kujifunza zaidi namna anasema uongo, huwezi kuamini pattern ya mtu mwongo kudanganya inafanana, nahisi kwa sababu amekuwa anaamini sijui chochote ndio maana amekuwa na sauti na matamko yanayokaribiana hata anavyochomoka ktk hayo mazungumzo.
Hahahaha!!! Laiti kama angalijua, a good gambler never shows his cards
 
Piga chini fwalaa huyoo
 
TAFUTA PESA...UKIWA NA PESA UTAWAKIMBIA MWENYEWE...YAANI WE TAFUTA PESA TU
 
Back
Top Bottom