Mbona ulikuwa bado single.muda huu napost hapa nimeachwa na aliyekua girlfriend wangu tuliyedumu kwenye mahusiano zaidi ya mwaka sasa.
Ningejua ningelala mapema tu huenda nisingeachwa usiku huu.
kisa cha kuniacha ni haya mapenzi ya umbali mrefu yaani long distance relationship. sasa nadhani huko amepata kijana anamtreat vizuri basi mm nikasahaulika. Hatujagombana wala nini ila ameamua kuniacha eti anaona hana chembe chembe tena za mapenzi.
nimeumia kidogo......nishaachwa mara nyingi kwa hyo nishazoea maumivu ya kuachwa ndio maana sijaumia sana.
kesho naamka nikiwa singo. yote maisha
.....namawazooKuachwa kuachwa mbaya zaidi........! kwa yule unayempenda yeye ananenepa wewe unakonda.....!
Mkuu umeongea ukwelii sanaa tuu never trust a human especially anapotambua unampenda anakufanyia matusi sanaapia umelala single polee
don't trust a woman who is not your mom.
Kama akendelea kukushobokea kwa jiwe hili basi kashindikana. Atakuwa jimama lililojichubua hadi ngozi inamabakamabaka, halafu lina mdomo hatari..mmh we Demiss nahisi sitakuweza. huwa nakujuchukulia kama danga fulani hivi. yaan tayari nimejijengea fikra kua ww ni jimama jeupe unavaa vikuku mguuni. nahisi sitakuweza[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama akendelea kukushobokea kwa jiwe hili basi kashindikana. Atakuwa jimama lililojichubua hadi ngozi inamabakamabaka, halafu lina mdomo hatari..
pia umelala single polee
don't trust a woman who is not your mom.
[/QUOTEHahaaaaaaa