AbouZakariya
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,646
- 2,403
Hii mbona ni bahati mkuu, lea tu , ila nakushauri ukatoe ripoti kwenye vyombo husika (ustawi wa jamii kama sikosei). Ripoti pekee uliyotoa pale polisi sidhani kama inatosha!
yaani ingekuwa mimi hizo taratibu za polisi nazifanya kwa security ila kimoyo moyo ningefurahi zaidi maana ile stage ya kuhangaika na nepi kashapita huyo, wee ni kulea tuu. Usilaumu sana wengine wanatafuta watoto hawapati
Huyo ndio first born wako
Hongera kwa kupata mtoto
Just for love
kwa kuwa umeshatoa taarifa polisi basi yatosha,
kikubwa na cha muhimu mlee kwa uadilifu mkubwa na mungu ni mwema kwa hakika atakulipa ondoa shaka.
Ndo inavyokuwaha. Wazazi waje wajitokeze baadae na ugomvi juu kumtaka mtoto.
Mlee tu, ila weka doc zote vizuri usije ukageuziwa kibao. Wasipojitokeza wazazi wake fanya mpango wa Kum-adopt, provided he is not a burden to you.
Mungu akubariki!
Yeah inabidi nikatafutie jina, ila mama yake akijitokeza sijui itakuaje!
Unamtoa nduki......!!!!!!!!
Ndg mleta mada MUNGU aendelee kukubariki kwa Huduma hiyo manake cwote wenye uTAYARI huo ukichukulia bado hujao! Ila kwa namna hii inafikia hatua watu watashindwa kusaidiana! Juzi ilibidi nimkwepe DADA 1 airport alipima Mzigo ukawa umezidi kanambia nimsaidie BEGI 1 nilimuangalia hadi kajishtukia Kiukweli tangu babu 1 apewe BEGI lenye BUNDUKI kwenye GARI asee ckotayari kumsaidia mtu hata km amecmamia uKUCHA kwakukosa nafasi yakukaa!
Mamaake akitokea peleka POLIS,,,!
Ndugu Amicus C, Narudi tena hii inapasua kichwa changu!! Mtoto wa miaka 2 ? Mama yake sii alishamlea na kuzoeana naye? Hukuweza kusoma nia yake au kusudiyo lake huyo mamamtu? WHY afanye hivyo? Aisee!! msuali ni mengi !!Nilikuja dar kikazi kwa takribani siku 4, sasa jana nikawa narudi mkoani kwangu. Wkt nipo Ubungo nimekaa kwenye dar express akaja mama mmoja mtu mzima mweupe amebeba mtoto, akaketi pembeni yangu, nikamsalimia nikapiga kimya.
Akaniomba nimbebee mtoto akajisaidie, nikakubali. Muda ukawa unazidi kwenda yule mama harudi! hadi basi linajaa hajarudi, mara kakaja kadem kamoja kakaketi kwenye ile siti ya yule mama nikapigwa na butwaa! nikamueleza kwamba ile siti ina mtu, akanionyesha tiketi yake ikabidi nimuamini kwamba kweli ile ni siti yake
Wkt basi linataka kuondoka ikabidi nimpe taarifa konda, tukashuka na konda na baadhi ya abiria hadi kituo kdg cha polisi ubungo, polisi hawakuniamini sana, wakadhani nafanya usanii nilipotaka kumuacha pale mtoto, ikabidi nipige copy vitambulisho vyangu na niache mawasiliano yangu niondoke na mtoto.
Wamama ndani ya basi wakawa wanapokezana kukabeba na kukalisha, ni katoto ka kiume, ka-handsome, baba, mama na girlfriend wangu nao hawaniamini, wanadhani ni mwanangu! Dah!