Nimeachana na mtoto wa kinyarwada

Nimeachana na mtoto wa kinyarwada

Baada ya kufuata ushauri wenu na kujionea yoooote hayo niliyoona. Nimeamua kabisa kuachana na mtoto wa kinyarwanda.

Sasa hivi niko free. Natafuta kitoto cha kitz kitakacho nikonga moyo wangu.

Hii ni baada ya ushauri wa watu fulani fulani hapa jamvini.

Natafuta kitoto kinachojua kupika vizuri, maana napenda kupikiwa. Mimi sijui kupika vizuri ila napenda kula vizuri. Si unajua tena sisi wasukuma kwa kula!!

Nenda The Citizen. Dr Rajesh anatafuta mkwe wa kibongo. Ana mtoto tahira ambaye anataka kuolewa.
 
Heheheeeeeeeee si utakuja nisaidia kuupika uo ugal mgum lol naogopa kua baunsa mie nshazoea kupika ugal mlain

kakaangu huyo wa kisukuma hali ugali laini itabidi uende usukumani ukapate short course
 
Kumbe mpango mzima kupika eeh? Sio vyenginevyo? Kwanini usitafute H/Girl?
 
Back
Top Bottom