Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,714
- Thread starter
- #21
Alafu mkuu Condom yangu lazma iende na KY Jelly.Mkuu wewe una akili sana!!
Bila kondomu wengine sie tungeshakufa zamani!!
Alafu mkuu Condom yangu lazma iende na KY Jelly.Mkuu wewe una akili sana!!
Bila kondomu wengine sie tungeshakufa zamani!!
Bora kuukosa huo utamu kuliko kutokutumia kabisaaa.Bora kutulia tu, makondom haya ni mazuri kwa usalama lakini yanapunguza sana utamu na performance
Yani nikiwaza kupiga game kavu lazma mtalimbo ulale doro na akili ihame kabisa.Kiongozi hapa dsm nishakutana na wanawake kibao hawataki mpira... Mmoja juzi juzi kati kati ya mechi ananiambia vua nikamwambia wewe punda nini.. Mwingine nilimuandaa kabisa ila akakataa kutumia mpira basi gemu ikasitishwa .. Hawa wa aina hii nina wasi wasi wana mdudu
Hakika mkuu, dunia haiaminiki kabisa. Watu wana mambo yao wanawaza kichwani.Bora ulivyompiga chini hao wengine wanatafuta wakufa nao au mimba za lazima maisha yenyewe gaya
Watu wa namna hii wanaudhi sana, wanadhani kila mtu ni mtoto mwenzao. Mods wawe watupunguzie wapuuzi wa namna hii.mtu kama huyu mnamchukuliaje
Aisee ni kweli mkuu, stress tupu.Mchepuko hauna faida, ni stress tu unajiongezea
Sawa bamdogo,lakini story yako ina plotholes nyingi,halafu sio story imayoweza kutolewa na mtu mwenye umri wa zaidi ya miaka 30,labda awe punguaniKuwa na adabu kijana, naweza kuwa baba yako wa kambo.
Sina hamu nae kabisa, kama wataka wapenda kavu ruksa mkuu.sasa kama umemuacha ina maana hamgegedani tena
Ooohh!! Hata kwenye mambo ya mapenzi na uhusiano unawaza siasa. Ndio maana mnafeli mitihani.Vijana Wa chadema mna balaa
Mwanangu kwani nini mbaya hapa mpaka unidharau? Nilichoandika kinatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, haijalishi umri.Sawa bamdogo,lakini story yako ina plotholes nyingi,halafu sio story imayoweza kutolewa na mtu mwenye umri wa zaidi ya miaka 30,labda awe punguani
Umejuaje kama nilimpandisha usafiri wa kumfikisha anapoenda?Unajiona mjanja kumtimua mwenzio usiku angebakwa na wahuni je? Ukikwepa K unakufa na mengine..hi ndo dunia
Labda kuna sababu nyingine mtambuka kutokana na uzoefu wa watu wengine.Faida za mchepuko si wewe ndio ututajie kama zipo???
Halafu mbona maswali yako ya mwanzo mchepuko wako ushakujibu????