Nilipoona coment yako ikabidi nijilidhishe. Ni mwaka 1889 siyo 1989 chief.Preston North End nao pia mwaka 1988-89
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipoona coment yako ikabidi nijilidhishe. Ni mwaka 1889 siyo 1989 chief.Preston North End nao pia mwaka 1988-89
hivi iwobi anafanyaga nini mule..na Niles!?..lacazette walimsajilia nini?..sioni wakimlisha
Alikuwa vizuri tu mchana wote alikuwa kachangamka hakuna alie tarajia haya.jana tena
Natamani nibaki peke yangu nikiishabkia Arsenal maana najua ndio niliichagua na kwa mwenendo huu najua ni misukosuko tu, ntasubir mpaka siku watakapong'ara.
Wasalimie huko uendako na udananda wako
Natamani nibaki peke yangu nikiishabkia Arsenal maana najua ndio niliichagua na kwa mwenendo huu najua ni misukosuko tu, ntasubir mpaka siku watakapong'ara.
Wasalimie huko uendako na udananda wako
Pamoja mkuu. Tupo kambi moja.Mkuu nipo chama kubwa leo tunalamba point 3 za Spurs
Tulia dawa ikuingie taratibu mwenzako Wacha1 keshatimua mbio.
Njoo unipe khabar za Wembley, zle 3pts mlizilamba?Pamoja mkuu. Tupo kambi moja.
Pole ngongo maumivu yakipigo huanza polepoleMkuu nipo chama kubwa leo tunalamba point 3 za Spurs