Vitu vidogo ni vya kupuuzwaMbona nimesha kuambia wewe ni mjuaji ....na reasoning yako ipo low Sana ...... Yaani una apply akili nyingingi kwenye vitu simpo tu.
Kabla hauja critsize ilitakiwa ujiulize kwanza vijimaswali vyenye some facts and ungepata unacho taka ila kwa hapa mzee kajipange.
Mbona mm mwenyewe nimesoma Kama wewe ila nikajiuliza Kama wewe ila nikapata jibu ya kuwa huenda jamaa degree yake kuichukulia hapahapa na huku kwingine atakua alifata masters/ phd and whatever.......nikatulia na kusubiri utamu uendelee...
Next time soma uelewe sio usome kwa ajili ya kubisha ....Ndio maana jamaa akili nyingi kaona wewe zwazwa kakuacha uendelee kubisha
Mwenye uzikama Nape tu
basi baada ya kufika ghetoni kwake mazaga kama yote ukiangalia kabwela sina mbele wala nyuma,mtoto akaniuliza mbona unashangaa...!!!Nikajishtukia na kujikuta nimeropoka "leo nitakufanyizia mpk unye"INAENDELEA
Basi Bhana ndo ivyo...
wewe mbn ujawai kuleta historia yako hapa jukwaani acha ushamba wako basi...wewe unadhaniThe best way to present your story, you first compose it and then you present it in piecemeal but It shouldn’t take more than a week, otherwise inapoteza sifa. If it goes beyond that, it is better you keep it for your tramps. Nikiamua kusoma novel, naamini within a week lazima niimalize
a typic buffoonwewe mbn ujawai kuleta historia yako hapa jukwaani acha ushamba wako basi...wewe unadhani
mleta mada hakosi cha kufanya zaidi ya kuleta xposure alizopitia??