Nimeacha damu yangu ughaibuni (Michigan, US) kisa ni ubaguzi wa rangi. Ushauri please

Mbona nimesha kuambia wewe ni mjuaji ....na reasoning yako ipo low Sana ...... Yaani una apply akili nyingingi kwenye vitu simpo tu.


Kabla hauja critsize ilitakiwa ujiulize kwanza vijimaswali vyenye some facts and ungepata unacho taka ila kwa hapa mzee kajipange.

Mbona mm mwenyewe nimesoma Kama wewe ila nikajiuliza Kama wewe ila nikapata jibu ya kuwa huenda jamaa degree yake kuichukulia hapahapa na huku kwingine atakua alifata masters/ phd and whatever.......nikatulia na kusubiri utamu uendelee...


Next time soma uelewe sio usome kwa ajili ya kubisha ....Ndio maana jamaa akili nyingi kaona wewe zwazwa kakuacha uendelee kubisha
Vitu vidogo ni vya kupuuzwa
 
The best way to present your story, you first compose it and then you present it in piecemeal but It shouldn’t take more than a week, otherwise inapoteza sifa. If it goes beyond that, it is better you keep it for your tramps. Nikiamua kusoma novel, naamini within a week lazima niimalize
 
INAENDELEA





Basi Bhana ndo ivyo...
basi baada ya kufika ghetoni kwake mazaga kama yote ukiangalia kabwela sina mbele wala nyuma,mtoto akaniuliza mbona unashangaa...!!!Nikajishtukia na kujikuta nimeropoka "leo nitakufanyizia mpk unye"

mtoto akaniambia nimvue chupi,ni laini balaa kama sex doll duh duniani kuna watoto wazuri jmn...kidume nilipouona huo upaja mtoto mweupe hkn haja ya taa nikajikuta nimejipizia

sasa wakati naendelea kumvua wale jamaa zangu wa kinaija.......
 
Kuna watu humu majidai mnajua sana kukatisha wenzenu tamaa kwa maneno yenu CHAI cha kushangazwa hiyo chai mnainywa bila sukari achen utoto
 
The best way to present your story, you first compose it and then you present it in piecemeal but It shouldn’t take more than a week, otherwise inapoteza sifa. If it goes beyond that, it is better you keep it for your tramps. Nikiamua kusoma novel, naamini within a week lazima niimalize
wewe mbn ujawai kuleta historia yako hapa jukwaani acha ushamba wako basi...wewe unadhani
mleta mada hakosi cha kufanya zaidi ya kuleta xposure alizopitia??
 
Back
Top Bottom