Nime-snap tu

Nime-snap tu

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
1412345561265.jpg
C.C utafiti mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Viol hili gari lina historia kubwa utafiti aliniazima oooo naomba nikapige misele nikamuazima kumbe anazuga nikamwambia anirudishie akagoma na mimi nikamsusia
 
Kaka hiyo gari ulitegemea nini kumpa mtu apige nayo misele,mshukuru utafiti ingekuwa mimi usingeniona kabisa ukinifuatilia nakuundia zengwe
 
Duuh @m011 gari ulilonipa hulikumbuki tena???? Haya mkuu ni hii hapa ila nimelibadilisha rangi

1412347477836.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kaka hiyo gari ulitegemea nini kumpa mtu apige nayo misele,mshukuru utafiti ingekuwa mimi usingeniona kabisa ukinifuatilia nakuundia zengwe

Kwa kweli nimejuta kuazima watu magari nishazoea kuwaazima akina mengi bakhresa manji rostam ila utafiti alinidhulumu ila nimesusia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom