Nime-mmiss Ulimboka

Nime-mmiss Ulimboka

Heading zingine bhana! Afunguke Kwan alikuwa amefungwa?
 
huyo uli nae kashakua tapeli tu hana lolote mafichoni mafichoni nani kasema atamdhuru na huku anaulinzi wa kutosha.
 
Dr Uli...lini atatoka mafichoni na kufunguka juu ya janjaweed waliomteka na kumtesa?

acheni unafiki na upuuzi. Nenda youtube tafuta dr ulimboka utaletewa clip yenye dakika 19 Kama siyo 49. Unataka kusikia nini cha ziada? Nachukia sana watz wa aina yako. Hata waandishi nao walikuwa wanaedit sana mambo yanayoisema serikali sasa imewageukia ndo wajue kwamba serikali haina ndugu. Pumbaf zenu wavivu mnaopenda kusikia tu bila kufanyia kazi mliyoyasikia.
 
Chezea serikali wewe . bia kaacha na bar kahama. Nasikia pia kaokoka. Na kaungama dhambi zake zote.
 
Akikutana na polisi lazima awaamkia
 
Nilisali sana arudi salama ili tujue nini kilimtokea kisha tuwamulike wahusika, sasa naanza kuhisi kama nata ku-reverse sala zangu; ila jamaa ndio kapona kisha kaingia mitini - jiiiiiiiiiii! Ukweli umebaki kitendawili..........

Amenyamazishwa bila shaka.
 
Wabongo mnasahau jinsi matukio makubwa yanavoisha kimya kimya?? wakumlaumu sio dr ulimboka. Afu bongo kuna kamchezo, ukisikia tume imeundwa tu... kwisha habari! Tume ya kuchunguza tukio la ulimboka ikowapi?? wizi mtupu. Tuamke
 
We nafasi yako ni kuandika tu hapa jamii forums, hakuna aliyediriki kwenda mbele zaidi ya kuandika tu pale alipookotwa kule porini. Cha ajabu akiwa kwenye khali ile madaktari wote wakatii amri na kurudi kazini. Nani kamsaliti mwenzie?? Tusiwe wanafiki. Ulimboka fanya shughuli zako nyingine, hii nchi imejaa wasaliti tofauti na ulivyodhani!
 
برجك مع مـاغـي فـرحبرجك مع مـاغـي فـرحبرجك مع مـاغـي فـرح
 
برجك مع مـاغـي فـرحبرجك مع مـاغـي فـرحبرجك مع مـاغـي فـرح

Mwongozo wa spika....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom