Nimchague nani?

Huyo mwanasheria atakutundika
Miguu juu oooh
 
hiyo ni hatari naamini katika nguvu ya kukaa chini na kujadili tofauti zinazojitokeza kuliko kupuuza wakae chini wayaongee kils mtu ateme nyongo yake maisha yaendelee wawe wapya asee miaka nane mhhhhhh hapa wanaishi kimazoea tu maskin ndoa hiz
Unaskiaga hz kuta znaficha mengi sana
 
hata la kusema nimekosa wanawakesisi mtihan sana wallah
 
we dogo wacha jinga.....vijana wa kiume age yako ndo ya kujichangana kwanza mpaka kwenye 28-30....halafu wewe ni ka-kahaba fulani hivi.........wacha zinaa....panga malengo yako vema kwanza.........hao wote sio...
 
Muoe unayempenda.
 
Achana na wote anza upya utapata utakaempenda hata kwa madhaifu yake... Kwa hao wawili sidhani kama kuna umpendae
 
Oa wote maana kwa maelezo yako wote wana nidhamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…