huyu jamaa anateswa na pesa za mwanasheria...upuuzi mtu, mimi siangalii elimu au alicho nacho bali nitautii moyo wangu utakaoangukiaHizi ndio athar za kua na mwanamke zaidi ya mmoja maskini asiependwa amepotezewa muda bure
Ndoa inahitaj uwe na mtu uliempenda kidhat i mean mmependana na kuridhiana, sio kua na mapenz ya upande mmoja itafikia hatua utachoka na kuamua kuacha
Wewe umempenda huyo mwanasheria sababu anakufurahisha kwenye tendo means huyu kama angekua hakufurahish kwenye tendo asingekua na nafas moyoni mwako?
Nasema hakuna uliempenda hapo we umewatamani tu mapenzi ya kweli hayaaangalii sababu ya kumpendea mtu unampenda tu unaona kila anachofanya ni sahihi kwake
Usimpotezee muda binti wa watu mcha Mungu mwambie ukweli huwez kua nae alie apate wake wa kumfuta machozi
Baki na mtu ambae unaona moyo wako umeamua
Maskini wanaishijeKweli kbs. Huyu Mzee anasema anamaliza mwaka wa 8 sasa hajawahi kula chakula ya mkewe
Uko sahihihuyu jamaa anateswa na pesa za mwanasheria...upuuzi mtu, mimi siangalii elimu au alicho nacho bali nitautii moyo wangu utakaoangukia
Wapi huko mbaliUmefka mbali mkuu,utasabibisha alaniwe,machozi syo mazuri
Kawaida ni kama sheria boss. hata Bwana Yesu alianza rasmi utume wake baada ya kufikisha miaka 30. Na Mapadre wengi hupata upadre wakiwa na miaka kuanzia 30+. Nadhani kuna logic fulan ndan ya miaka 30+Kwa miaka hii ya leo vijana nawashauri walau ufikishe miaka 30 na kuendelea ili ubongo upanuke zaidi uwe na fikra pevu. Ni ushauri tu lakini, sio sheria
Mungu tu aingilie kati aiseeeeeee maana Mngh!Maskini wanaishije
Shida iko kwa nani?? Ni dini gan huyo baba?? Wapi anatimiziwa mahitaji hake kkmwili?Mungu tu aingilie kati aiseeeeeee maana Mngh!
Kimsingi huo ni umri ambao kwa binadamu yyt yule akifikisha miaka hiyo hata yy mwenyewe hujiona kbs kuwa kuna namna fulani amebadilika hasa ktk uwezo wa kufikiri, kuchambua na kuamua mambo kwa usahihi. Ile hali ya u- kiddish hutowekaKawaida ni kama sheria boss. hata Bwana Yesu alianza rasmi utume wake baada ya kufikisha miaka 30. Na Mapadre wengi hupata upadre wakiwa na miaka kuanzia 30+. Nadhani kuna logic fulan ndan ya miaka 30+
Huko kwenye BTW...... mzee umetishia aman siooa.[emoji42][emoji42]Kimsingi huo ni umri ambao kwa binadamu yyt yule akifikisha miaka hiyo hata yy mwenyewe hujiona kbs kuwa kuna namna fulani amebadilika hasa ktk uwezo wa kufikiri, kuchambua na kuamua mambo kwa usahihi. Ile hali ya u- kiddish hutoweka
BTW ndoa tamu sana hasa kwa siku za mwanzoni
Usimdanganye mwenzio wewe kama hutaki kuoa au umeoa ukiwa na 30 ni wewe mimi namshauri aoe ndoa nikitu kizuri na yeye hatachelewa kulea sio wengine sabini 70 ndio anamtoto mchanga kisa alitaka aoe malaika akakosaMiaka 25 bado ni umri mdogo kuoa kwa miaka ya sasa, walau ujivutevute ufikishe hata 30 na kuendelea
Aaaaah wapUsimdanganye mwenzio wewe kama hutaki kuoa au umeoa ukiwa na 30 ni wewe mimi namshauri aoe ndoa nikitu kizuri na yeye hatachelewa kulea sio wengine sabini 70 ndio anamtoto mchanga kisa alitaka aoe malaika akakosa
Kabla hujaoa ni waz una vigezo vyako japo s vyote vutatekelezeka lakin uko na vile muhim, sema na moyo wako angalia vigezo ulivyonavyo na wanawake yupi mizani imepanda chekecha shirikisha akili ako utapata jibu
Unaoa sababu wazazi wanakushinikiza?
Hata akioa hatodumuKwa sababu mjomba wake katika ukoo alioa miaka kama yake.. Too childish
Ni wakristo. Yule mama(mkewe) anaonekana hana shida ingawa kisaikolojia ni kama anajikaza tu. Sijamdadisi kwa undani sana huyu Mzee japo anaonekana kbs kakata tamaa sana.Shida iko kwa nani?? Ni dini gan huyo baba?? Wapi anatimiziwa mahitaji hake kkmwili?
hiyo ni hatari naamini katika nguvu ya kukaa chini na kujadili tofauti zinazojitokeza kuliko kupuuza wakae chini wayaongee kils mtu ateme nyongo yake maisha yaendelee wawe wapya asee miaka nane mhhhhhh hapa wanaishi kimazoea tu maskin ndoa hizNi wakristo. Yule mama(mkewe) anaonekana hana shida ingawa kisaikolojia ni kama anajikaza tu. Sijamdadisi kwa undani sana huyu Mzee japo anaonekana kbs kakata tamaa sana.
Unajua ikifikia hatua ya mwanandoa kutotamani masaa ya kutoka kazini yaishe sababu tu hana hamu ya kurudi nyumbani kwake ni mbaya sana
Hutakiwi kuogopa ila ndio uhalisia wenyewe huo nduguHuko kwenye BTW...... mzee umetishia aman siooa.[emoji42][emoji42]
Mzee anakwambia yupo pale sababu tu ya watoto wake ambao bado wapo shule wanasoma vinginevyo sijui angekuwa Wapi. Na ukiangalia ni kweli maana kila wanae wakija likizo baba yao huwa ana amani sana issue shule zikifunguliwa kama hivi wanabaki yy na mkewe tu ni horrible kbs!hiyo ni hatari naamini katika nguvu ya kukaa chini na kujadili tofauti zinazojitokeza kuliko kupuuza wakae chini wayaongee kils mtu ateme nyongo yake maisha yaendelee wawe wapya asee miaka nane mhhhhhh hapa wanaishi kimazoea tu maskin ndoa hiz
MeaningAaaaah wap
Sawa mkuu.Hutakiwi kuogopa ila ndio uhalisia wenyewe huo ndugu
Mwanzoni mahaba huwa motomoto haswaaaa, kila lisaa likikatika unahesabu ili tu muda wa kazi uishe upesi uwahi nyumbani - shida inaanza-ga kikishaingia kimeta ohoooooo unatamani masaa yarudi nyuma ili tu usisogee mitaa ya home pale pale ulipokuwa unapakimbilia. Na kama hivo ukaingia kwenye mikono ya mwanasheria mbona mtanange!