Kabla hujaoa ni waz una vigezo vyako japo s vyote vutatekelezeka lakin uko na vile muhim, sema na moyo wako angalia vigezo ulivyonavyo na wanawake yupi mizani imepanda chekecha shirikisha akili ako utapata jibumimi ndio wakwanza kwetu na ni wazazi ndio wanataka nioe na pia kweny ukoo wetu umri kama wakwangu inanibidi nioe
Ni kweli, ila kwa maelezo yake ni dhahiri ndoa itamhangaisha sana simply kwasababu hajakomaa kiakiliMaybe kaona kwake n mda sahihi ujue, like kila mtu yuko na plans zake akifikisha age flani walau atimize hata nusu kama sio robo ya malengo amejiwekea labda alijjwekea lengo hilo who knows
Usioe sababu ya kumuonea huruma mtu, oa sababy unapenda na unaweza beba madhaifu ya mtuNpo kwenye wakati mgumu sana nisaidie maana sitaki kumuumiza mtu haswa huyu mpole maana tumetoka mbali
Na kuoa na miaka 45 ni sawa kuondoka saa ngap clubKuoa na miaka 25 ni sawa na kuondoka club saa 6
Be careful Niggamimi ndio wakwanza kwetu na ni wazazi ndio wanataka nioe na pia kweny ukoo wetu umri kama wakwangu inanibidi nioe
Ongezea na hiiNi kweli, ila kwa maelezo yake ni dhahiri ndoa itamhangaisha sana simply kwasababu hajakomaa kiakili
Connect the dotsKabla hujaoa ni waz una vigezo vyako japo s vyote vutatekelezeka lakin uko na vile muhim, sema na moyo wako angalia vigezo ulivyonavyo na wanawake yupi mizani imepanda chekecha shirikisha akili ako utapata jibu
Unaoa sababu wazazi wanakushinikiza?
Uko sahihiConnect the dots
ExactlyKama unaona umekomaa kiakili kiasi cha kupambana na changamoto za ndoa...Oa kwa huo umri.
Lkn km niwale ambao Mke akikuambia leo hayupo sawa kiakili ,naww ukaona kakunyima K, ukaenda kutombaa nje... Usioe kwa huo Umri.
Asipochukua huu ushauri basi atakuwa alienda chuoni kusomea ujinga.Hizi ndio athar za kua na mwanamke zaidi ya mmoja maskini asiependwa amepotezewa muda bure
Ndoa inahitaj uwe na mtu uliempenda kidhat i mean mmependana na kuridhiana, sio kua na mapenz ya upande mmoja itafikia hatua utachoka na kuamua kuacha
Wewe umempenda huyo mwanasheria sababu anakufurahisha kwenye tendo means huyu kama angekua hakufurahish kwenye tendo asingekua na nafas moyoni mwako?
Nasema hakuna uliempenda hapo we umewatamani tu mapenzi ya kweli hayaaangalii sababu ya kumpendea mtu unampenda tu unaona kila anachofanya ni sahihi kwake
Usimpotezee muda binti wa watu mcha Mungu mwambie ukweli huwez kua nae alie apate wake wa kumfuta machozi
Baki na mtu ambae unaona moyo wako umeamua
Umri upi ni sahihi kwa kuoa ?Kuoa na miaka 25 ni sawa na kuondoka club saa 6
Kuna mzee mmoja jirani yangu hapa aina ya maisha anayoishi na mkewe wa ndoa ni disaster. Kuna siku aliamua kunihadithia A to Z ni completely the same ya mleta mada- mwenyewe anakwambia hadi imeathiri mahusiano baina yake na wazazi wakeUko sahihi
Kosea kuoa uone maisha yalivyo magum ndio mtoa mada anachotaka kukifanya hapaKuna mzee mmoja jirani yangu hapa aina ya maisha anayoishi na mkewe wa ndoa ni disaster. Kuna siku aliamua kunihadithia A to Z ni completely the same ya mleta mada- mwenyewe anakwambia hadi imeathiri mahusiano baina yake na wazazi wake
Kwa miaka hii ya leo vijana nawashauri walau ufikishe miaka 30 na kuendelea ili ubongo upanuke zaidi uwe na fikra pevu. Ni ushauri tu lakini, sio sheriaUmri upi ni sahihi kwa kuoa ?
Kweli kbs. Huyu Mzee anasema anamaliza mwaka wa 8 sasa hajawahi kula chakula ya mkeweKosea kuoa uone maisha yalivyo magum ndio mtoa mada anachotaka kukifanya hapa
Umefka mbali mkuu,utasabibisha alaniwe,machozi syo mazuriHizi ndio athar za kua na mwanamke zaidi ya mmoja maskini asiependwa amepotezewa muda bure
Ndoa inahitaj uwe na mtu uliempenda kidhat i mean mmependana na kuridhiana, sio kua na mapenz ya upande mmoja itafikia hatua utachoka na kuamua kuacha
Wewe umempenda huyo mwanasheria sababu anakufurahisha kwenye tendo means huyu kama angekua hakufurahish kwenye tendo asingekua na nafas moyoni mwako?
Nasema hakuna uliempenda hapo we umewatamani tu mapenzi ya kweli hayaaangalii sababu ya kumpendea mtu unampenda tu unaona kila anachofanya ni sahihi kwake
Usimpotezee muda binti wa watu mcha Mungu mwambie ukweli huwez kua nae alie apate wake wa kumfuta machozi
Baki na mtu ambae unaona moyo wako umeamua
aiseeKosea kuoa uone maisha yalivyo magum ndio mtoa mada anachotaka kukifanya hapa