Maybe kaona kwake n mda sahihi ujue, like kila mtu yuko na plans zake akifikisha age flani walau atimize hata nusu kama sio robo ya malengo amejiwekea labda alijjwekea lengo hilo who knowsMiaka 25 bado ni umri mdogo kuoa kwa miaka ya sasa, walau ujivutevute ufikishe hata 30 na kuendelea
Mkuu nipe mmojaHabarini ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 25 nimemaliza elimu yangu ya chuo kikuu na nina ajira kwenye kampuni
nipo kwenye mpango wa kuoa lakini napata shida ya mwanamke yupi kati ya hawa wawili nimtambulishe nyumbani nisaidieni: wana sifa hizi
1- huyu amesoma na ni mwanasheria kwa sasa lakini ana nidhamu mara nyingi tunakorofishana kwa mambo madogo inafikia kipindi atuongei wiki lakini tunarudiana uzuri wake ni mmoja hua namfurahia sana kwenye tendo pia ananisaidiaga nikikwama kibiashara
2:huyu ajasoma sana elimu yake ni kidato cha nne na akubahatika kuendelea na masomo lakini ana nidhamu sana ananisikiliza na kunipa mawazo chanya ya kuwaza maisha na wazazi wangu pia ni mcha Mungu sana , ila kibaya simfurahii sana tunapokua kwenye tendo ila nampenda kwa upole wake na unyenyekevu
NIFANYAJE MIMI?
Inaonekana umeumia sana roho mkuu, hadi imekuchukua muda mrefu kutoa ushauri.Hizi ndio athar za kua na mwanamke zaidi ya mmoja maskini asiependwa amepotezewa muda bure
Ndoa inahitaj uwe na mtu uliempenda kidhat i mean mmependana na kuridhiana, sio kua na mapenz ya upande mmoja itafikia hatua utachoka na kuamua kuacha
Wewe umempenda huyo mwanasheria sababu anakufurahisha kwenye tendo means huyu kama angekua hakufurahish kwenye tendo asingekua na nafas moyoni mwako?
Nasema hakuna uliempenda hapo we umewatamani tu mapenzi ya kweli hayaaangalii sababu ya kumpendea mtu unampenda tu unaona kila anachofanya ni sahihi kwake
Usimpotezee muda binti wa watu mcha Mungu mwambie ukweli huwez kua nae alie apate wake wa kumfuta machozi
Baki na mtu ambae unaona moyo wako umeamua
Npo kwenye wakati mgumu sana nisaidie maana sitaki kumuumiza mtu haswa huyu mpole maana tumetoka mbaliHizi ndio athar za kua na mwanamke zaidi ya mmoja maskini asiependwa amepotezewa muda bure
Ndoa inahitaj uwe na mtu uliempenda kidhat i mean mmependana na kuridhiana, sio kua na mapenz ya upande mmoja itafikia hatua utachoka na kuamua kuacha
Wewe umempenda huyo mwanasher
Ungejua umuhim wa kutoka naye mbali mwnaasheria asingepata nafasi moyoni mwako, ts simple amua vile moyo wako umeamua hata hivyo tutakushaur lakin we ndio wa mwisho kufanya maamuzNpo kwenye wakati mgumu sana nisaidie maana sitaki kumuumiza mtu haswa huyu mpole maana tumetoka mbali
Hahaha nimecheka kama mazuri vile, nimejarib tu kuvaa viatu visivyo nifitInaonekana umeumia sana roho mkuu, hadi imekuchukua muda mrefu kutoa ushauri.