Nim-propose vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nim-propose vipi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tanga kwetu, Jan 5, 2011.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  mimi ni mdanganyika (oohps sorry i meant mtanganyika) niaishi Tanga nina miaka 32. nina girlfriend wa mzungu wa kimarekani ana miaka 39. uhusiano wetu ni wa miaka 6 sasa. kwa mwaka tunakutana mara tatu au mbili na mara nyingi huwa anakuja Tanga. mara ya mwisho alikuja september,2010 na tulikuwa arusha, manyara na tanga kwa wiki tano then akarudi kwao. mwaka huu atakuja mwezi februari kwa ajili tuende kuhudhuria sauti za busara music festival. nilimgusia suala la ndoa akasema ni-propose atakubali. nataka ni-propose valentine day ya 2011. wadau wa JF naomba mawazo yenu style gani nitumie ku-propose yaani utundu upi. Zanzibar,tuta-rent nyumba ya ufukweni. kwa msingi wa biashara aliyonianzishia, sipo pabaya kiuchumi na hii safari ni mimi ndio nagharimia.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unataka mbele za watu au wenyewe wenyewe?
   
 3. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  ...wenywewe wenyewe!
   
 4. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mabrouk.....
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Basi piga goti omba ndoa!Au unaweza kumnunulia kitu anachopenda sana...chocolate..perfume and the likes alafu unaweka pete humo!Akifungua na wewe unarusha swali!Unaweza kumpeleka dinner sehemu ambayo ni nyie tu..labda ufukweni hivi kama hoteli yenu ipo karibu na baharini..unawaomba wakuandalie mandhari special..maongezi yote yanakua kuhusu nyie then ukishampa sababu za kwanini unampenda unamwambia hutaki kuwa bila yeye unaomba awe mkeo!
   
Loading...