Nilizalishwa na kudhalilishwa

Nilizalishwa na kudhalilishwa

Pole sana mwambie umeshaoa mwingine kachelewa
 
Katika harakati za kutafuta mkate nilikutana na mwanaume ambaye hatimae akawa mzazi mwenzangu, tuliishi kipindi kirefu sana tukiwa kama mke na mume, mwisho wa siku jamaa akaamua kuachana na mimi kwa mbwembwe na udhalilishaji wa kimataifa,mabaya mengi sana alinizushia ili tu azma yake ya kutaka kuniacha kiholela ipate waungaji mkono, Kwa kiasi kikubwa alifanikiwa wengi walimuunga mkono, kejeli matusi vilikuwa vikipishana mitaani vikinisaka mimi ,na haikuwa mimi tu mpaka familia yangu iliunganishwa kwenye hiyo dhihaka, kilikuwa kipindi kigumu sana haijawahi kutokea, maradhi msongo wa mawazo viliandama kiasi kwamba niliichukua dunia, nilijuta kwanini nilizaliwa, wakati mwingine nilitamani nife niondokane na haya mateso, lakini nilikuwa nikimwangalia mwanangu naishia kulia, nawaza nikifa leo huyu kiumbe asiyekuwa na hatia nitamwacha katika mazingira gani? Mungu si James kadri siku zilivyokuwa zinasonga mbele nikawa naizoea hali ile, nikaikubali hali ile na niambiwe au nisikie nini sikuweza kuumia tena, mpaka naandika uzi huu nina amani na yaliyopita yamebaki simulizi tu wala hayaniumizi tena. Kilichonileta kwenu ni hiki -Mpuuzi yule ana kila dalili ya kutaka kujiletaleta kwangu, najua iko siku ataleta swaga zake za kiduwanzi, nimetafakari ikitokea nimjibu nini ili naye ayapate maumivu mara mia ya niliyoyapata mimi nimeshindwa, nisaidieni wana MMU.
Kwa jinsi ulivyoandika huu "uzi" inaonekana wazi kabisa wewe bado unampenda sana huyo jamaa unayemwita "mpuuzi". Maandishi yako yanaonesha kuwa una hamu sana jamaa arudi kukuomba msamaha ili na wewe upate upenyo wa kulipiza kisasi, lakini ukweli ni kwamba jamaa akirudisha majeshi; utampokea kwa mikono miwili, kitu ambacho siyo kibaya.

Mimi ningekushauri kama atarudi na kukuomba msamaha, wewe msamehe tu. Ni bora kusamehe kuliko kulipiza kisasi. Ukimsamehe atajifunza zaidi kwa kuona aibu kwani nafsi yake itamsuta sana kuliko ukimlipiza kisasi.
 
Mfute kwenye akili yako.... akitaka mtoto mpe ila acha mazoea nae kabisa!
 
Kwa jinsi ulivyoandika huu "uzi" inaonekana wazi kabisa wewe bado unampenda sana huyo jamaa unayemwita "mpuuzi". Maandishi yako yanaonesha kuwa una hamu sana jamaa arudi kukuomba msamaha ili na wewe upate upenyo wa kulipiza kisasi, lakini ukweli ni kwamba jamaa akirudisha majeshi; utampokea kwa mikono miwili, kitu ambacho siyo kibaya.

Mimi ningekushauri kama atarudi na kukuomba msamaha, wewe msamehe tu. Ni bora kusamehe kuliko kulipiza kisasi. Ukimsamehe atajifunza zaidi kwa kuona aibu kwani nafsi yake itamsuta sana kuliko ukimlipiza kisasi.
Vp kama jamaa nae kamtamani tu sio kwamba anarusisha majesh mazima

Unataka mtoto wa watu awekwe kovu la pili kubwa kuliko????

Hapa ishu ni kusamehe lakini sio kurudiana nae na kama akimsamehe asijichanganye kurudia urafiki nae....atajutaaaaaa

Nmesema msamaha maana wanasaikolojia wanasema msaha umnufaisha mtoaji kuliko alietenda kosa
 
Huwa unanipa shida kukusoma.. najitolea kukufundisha kiswahili inaonekana umekulia nje ya Tz.

Yaani nitafurahi.. eeeh eti nje.. kijijini kilugha tu

Hasa kwanza kuanza neno tha.. au dha.. hii kazi pia kweli kweli

Nakushukuru mapema
 
Baada ya kukutenda hivyo kweli hujui umjibu nini?

Katika harakati za kutafuta mkate nilikutana na mwanaume ambaye hatimae akawa mzazi mwenzangu, tuliishi kipindi kirefu sana tukiwa kama mke na mume, mwisho wa siku jamaa akaamua kuachana na mimi kwa mbwembwe na udhalilishaji wa kimataifa,mabaya mengi sana alinizushia ili tu azma yake ya kutaka kuniacha kiholela ipate waungaji mkono, Kwa kiasi kikubwa alifanikiwa wengi walimuunga mkono, kejeli matusi vilikuwa vikipishana mitaani vikinisaka mimi ,na haikuwa mimi tu mpaka familia yangu iliunganishwa kwenye hiyo dhihaka, kilikuwa kipindi kigumu sana haijawahi kutokea, maradhi msongo wa mawazo viliandama kiasi kwamba niliichukua dunia, nilijuta kwanini nilizaliwa, wakati mwingine nilitamani nife niondokane na haya mateso, lakini nilikuwa nikimwangalia mwanangu naishia kulia, nawaza nikifa leo huyu kiumbe asiyekuwa na hatia nitamwacha katika mazingira gani? Mungu si James kadri siku zilivyokuwa zinasonga mbele nikawa naizoea hali ile, nikaikubali hali ile na niambiwe au nisikie nini sikuweza kuumia tena, mpaka naandika uzi huu nina amani na yaliyopita yamebaki simulizi tu wala hayaniumizi tena. Kilichonileta kwenu ni hiki -Mpuuzi yule ana kila dalili ya kutaka kujiletaleta kwangu, najua iko siku ataleta swaga zake za kiduwanzi, nimetafakari ikitokea nimjibu nini ili naye ayapate maumivu mara mia ya niliyoyapata mimi nimeshindwa, nisaidieni wana MMU.
 
Katika harakati za kutafuta mkate nilikutana na mwanaume ambaye hatimae akawa mzazi mwenzangu, tuliishi kipindi kirefu sana tukiwa kama mke na mume, mwisho wa siku jamaa akaamua kuachana na mimi kwa mbwembwe na udhalilishaji wa kimataifa,mabaya mengi sana alinizushia ili tu azma yake ya kutaka kuniacha kiholela ipate waungaji mkono, Kwa kiasi kikubwa alifanikiwa wengi walimuunga mkono, kejeli matusi vilikuwa vikipishana mitaani vikinisaka mimi ,na haikuwa mimi tu mpaka familia yangu iliunganishwa kwenye hiyo dhihaka, kilikuwa kipindi kigumu sana haijawahi kutokea, maradhi msongo wa mawazo viliandama kiasi kwamba niliichukua dunia, nilijuta kwanini nilizaliwa, wakati mwingine nilitamani nife niondokane na haya mateso, lakini nilikuwa nikimwangalia mwanangu naishia kulia, nawaza nikifa leo huyu kiumbe asiyekuwa na hatia nitamwacha katika mazingira gani? Mungu si James kadri siku zilivyokuwa zinasonga mbele nikawa naizoea hali ile, nikaikubali hali ile na niambiwe au nisikie nini sikuweza kuumia tena, mpaka naandika uzi huu nina amani na yaliyopita yamebaki simulizi tu wala hayaniumizi tena. Kilichonileta kwenu ni hiki -Mpuuzi yule ana kila dalili ya kutaka kujiletaleta kwangu, najua iko siku ataleta swaga zake za kiduwanzi, nimetafakari ikitokea nimjibu nini ili naye ayapate maumivu mara mia ya niliyoyapata mimi nimeshindwa, nisaidieni wana MMU.
Akija ....mwimbie mwanaume mashine.........mbele za watu mwambie kibamia chako sikitaki tena......usisahau kutupa mrejesho!
 
Pole sana mkuu.

Tatizo lenu wakati mnaumizwa, mtasema maneno mengi ya kejeli kwa huyo aliyekuzalisha na kukutupa.
Ila ukianza kuishi na mwingine, hamchelewi kuchemsha kipolo cha ugali.

Akirudi tena kuomba msamaha utamfanyaje?
 
Pole sana..na inawezekana akarudi ukaachana na ulienae ukarudiana nae..wanawake nyie akili zenu mnazijua wenyewe..
 
Vp kama jamaa nae kamtamani tu sio kwamba anarusisha majesh mazima

Unataka mtoto wa watu awekwe kovu la pili kubwa kuliko????

Hapa ishu ni kusamehe lakini sio kurudiana nae na kama akimsamehe asijichanganye kurudia urafiki nae....atajutaaaaaa

Nmesema msamaha maana wanasaikolojia wanasema msaha umnufaisha mtoaji kuliko alietenda kosa
Kisaikolojia ukimsikia mwanamke anasema "anamchukia sana mwanaume fulani basi fahamu kwamba moyoni mwake bado anampenda mwanaume huyo. Wanawake wengi wana udhaifu huo.

Kusamehe ni jambo bora sana, lakini ikiwa watarudiana itakuwa ni bora zaidi. Kumbuka tayari wana mtoto na itakuwa afya zaidi kama watarudiana na kukaa pamoja kama familia.
 
Katika harakati za kutafuta mkate nilikutana na mwanaume ambaye hatimae akawa mzazi mwenzangu, tuliishi kipindi kirefu sana tukiwa kama mke na mume, mwisho wa siku jamaa akaamua kuachana na mimi kwa mbwembwe na udhalilishaji wa kimataifa,mabaya mengi sana alinizushia ili tu azma yake ya kutaka kuniacha kiholela ipate waungaji mkono, Kwa kiasi kikubwa alifanikiwa wengi walimuunga mkono, kejeli matusi vilikuwa vikipishana mitaani vikinisaka mimi ,na haikuwa mimi tu mpaka familia yangu iliunganishwa kwenye hiyo dhihaka, kilikuwa kipindi kigumu sana haijawahi kutokea, maradhi msongo wa mawazo viliandama kiasi kwamba niliichukua dunia, nilijuta kwanini nilizaliwa, wakati mwingine nilitamani nife niondokane na haya mateso, lakini nilikuwa nikimwangalia mwanangu naishia kulia, nawaza nikifa leo huyu kiumbe asiyekuwa na hatia nitamwacha katika mazingira gani? Mungu si James kadri siku zilivyokuwa zinasonga mbele nikawa naizoea hali ile, nikaikubali hali ile na niambiwe au nisikie nini sikuweza kuumia tena, mpaka naandika uzi huu nina amani na yaliyopita yamebaki simulizi tu wala hayaniumizi tena. Kilichonileta kwenu ni hiki -Mpuuzi yule ana kila dalili ya kutaka kujiletaleta kwangu, najua iko siku ataleta swaga zake za kiduwanzi, nimetafakari ikitokea nimjibu nini ili naye ayapate maumivu mara mia ya niliyoyapata mimi nimeshindwa, nisaidieni wana MMU.
Ndungu yangu ,,mpenzi Wangu ,Sweetheart Wangu ,,malaikaaa ,tumeambiwa Samehee Saba Mara sabini !!..akijileta kwanza mnunuee siku tatuu ,,siku ya nne mwambie akapime !!
Akiwa poa mchunue siku tatu tenaa...siku inayofata mzabue kibao shavuni ,,kisha mwambie "" Mwone nmekusamehe bahat yako bado nakupenda "".
 
Kisaikolojia ukimsikia mwanamke anasema "anamchukia sana mwanaume fulani basi fahamu kwamba moyoni mwake bado anampenda mwanaume huyo. Wanawake wengi wana udhaifu huo.

Kusamehe ni jambo bora sana, lakini ikiwa watarudiana itakuwa ni bora zaidi. Kumbuka tayari wana mtoto na itakuwa afya zaidi kama watarudiana na kukaa pamoja kama familia.
Kisaikolojia watu wengi ndoa zinayumba kwasababu wanaoana kwa kigezo anamimba yangu au kanzalia mtoto......

Ukiwatafuta wataalamu wa teolojia watakwambia
 
Mtu wa namna hiyo unamvutia kiti anakaa akisha ona amefika unaanza kumlipa moja baada ya jingine hakikisha uwe na detail ili ujue ni wapi patakamo muuma na wewe utakapo anza hakikisha unamdharirisha mpaka ajione mavi kabisa........!!***
Hata kama bado unampenda we msomeshe namba
We unatujua unatuskia ?? yani kakosea mwanaume alafu umpe nafasi ya kumsikiliza??
Yani najua kabisa kuwa nilizingua kwelikweli alafu bado ndio nakutaka mbona siku hiyo utahisi labda nililogwa hivi
Kwa sababu ukikumbuka utahisi labda sio mimi nnaeongea hapo
Na ukizingatia kuna kusahau
Najua asilimia kubwa ya machungu ushayasahau hapo una kama asilimia kumi tu kwa hiyo mi nafanya kama ku clear tu
Yani hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Back
Top Bottom