Nilizalishwa na kudhalilishwa

Nilizalishwa na kudhalilishwa

Daaaaaaah nmesoma hii post had choz lmenidondoka,umenifanya nikumbuke kitu pole sanaa,cha kufanya we mpotezee tu huyo bwana na usithubutu kumpa hata 1sec ajieleze yaan kaa mbal nae kabsaaa usijarbu kumsogelea hata na hata mawasiliano kata mpe blok kila mahala pia hata akienda kwa nduguzo kataa kabsa vkao vya kusuhisha yaan usikubali acha nae aisome namba usimhurumie hata kdgo,but kua makin sana usijiingize kwenye mahusiano mpk utapopata mtu ambae dhahir ana lengo na wewe otherwise Bora ukawa sngle tu uenjoy life na mwanao,wanaume washenzi my dear take care yalokutokea yasije jirudia
 
Mtu kama huyo unakaa nae mbali wala husimkaribishe kuongea nae.

Yaani mwacha apite huko.. akitaka mwanenu kumuona panga mtu unamini tena wa kiume awe anapeana nae.

Hayo ya kutuuliza usemeje ukiambiwa umwambie bado unampenda utamwambia!?
Huwa unanipa shida kukusoma.. najitolea kukufundisha kiswahili inaonekana umekulia nje ya Tz.
 
Uandishi wa kiume huu.sorry au umeandika kwa niaba ya dada ako?
 
Mi mwenzako namuelewa hvohvo....
Mbna anaeleweka tu....ata kama alifaulu kwa chabo
nilishamuambia toka siku nyingi napataga shida kumsoma akaniambia kakulia nje. Acha nijitolee nimfundishe
 
nilishamuambia toka siku nyingi napataga shida kumsoma akaniambia kakulia nje. Acha nijitolee nimfundishe
Acha we??!!! Humuwez naapa umuwez...

Saa haisomi, utatwanga maji kwenye kinu
 
Back
Top Bottom