Nilizaa na mke wa mtu, anataka kunidhulumu mtoto

Nilizaa na mke wa mtu, anataka kunidhulumu mtoto

Idara nyeti

New Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
0
Reaction score
54
Wadau wa humu JF habari za harakati na mapigo ya ada za January hii

Niende kwenye topic moja kwa moja... nilizaa na mke wa mtu tena wa rafiki yangu kwa siri na kwa makubaliano kwamba akifikia umri fulani wa kujitambua mama yake afanye whatever possible kum-link na mie baba yake halisi.

Mtoto anafanana na mama yake ila ni wangu kabisaa na matumizi nimekuwa ninatoa kwa siri na mara moja moja tunapashaga kiporo. Sasa kila nikimwingizia suala la mtoto wangu anilink ananikwepa.

Nawaza nimpeleke ama ustawi wa jamii au mahakamani au labda niende kwa sangoma kusaka haki yangu but kabla ya yote nikaona scenario hii niiweke humu MMU naamini kuna wajuzi wa mambo mnisaidie.

NAWASILISHA
 
Wewe umedhulumiwa mtoto hujakubali, usipoachana nae utaishia kudhulumiwa uhai kabisa
 
Back
Top Bottom