Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Nimekuelewa ila nifafanulie kidogo hapo kwenye kulifanyia kazi ni kulifanyiaje?
Maana mimi naona hata hivi kukuuliza ndio nimeanza kulifanyia kazi.
Kuhusu kulijua nia yangu ni ili niweze kuisadia jamii kwa ukubwa kama vile hilo jina lilivyo kubwa
Unafahamu Qur'an ina harufi Alif Lam Mym zinaanza kwenye sura ngapi?

Anza kufanyia hilo kazi ulete jibu.
 
Kwasabu nalipika ndo Biashara yangu ana jinn wake mmoja analipenda biryani langu nikipika anakula ana sifu sana hata akiwa na wageni naitwa nikapike 😁ndo maana nikamchomekea.
Dada hizo za kushirikiana na majini ni shirki tu ata mtetee vipi

Je! Nikwambieni nani wanawashukia Mashet'ani

Wanamshukia kila mzushi mkubwa mwingi wa dhambi.

Wanawapelekea yale wanayo yasikia; na wengi wao ni waongo.


Hivi ndo mafundisho ya quran yanavotwambia
 
Nyie watu embu kasomeni kwanza maana ya Shirk aisee halafu ndo uje u comment.halafu mashetani sio majini wapo masheitwan watu na majinn.
Dada hizo za kushirikiana na majini ni shirki tu ata mtetee vipi

Je! Nikwambieni nani wanawashukia Mashet'ani

Wanamshukia kila mzushi mkubwa mwingi wa dhambi.

Wanawapelekea yale wanayo yasikia; na wengi wao ni waongo.


Hivi ndo mafundisho ya quran yanavotwambia
 
Nimejikuta nakucheka wajifanya wajua kumbe hujui.

Na humjui pia,na nisingependa kumuongelea hata yeye tu kujiongelea kujimwambafai kamwe huwezi kuta anaongelea, halafu mbona hata yeye amesema jinn huwa hasemi ukweli asli yake jina Ila kuna hesabu unapata umeishi nao miaka 20 mwenzio kazaliwa kalelewa nao nini yeye kuongea nao mie tu wanijia ndani kwangu naona nao japo wanakuja kwa umbo lake haswa mida ya mchana unakuta kama nalewa usingizi anyways niishie hapa sipo hapa kuongelea habari za mtu nipo kujifunza.weka elimu yako wewe tujifunze kuhusu majinn

Nimejikuta nakucheka wajifanya wajua kumbe hujui.

Na humjui pia,na nisingependa kumuongelea hata yeye tu kujiongelea kujimwambafai kamwe huwezi kuta anaongelea, halafu mbona hata yeye amesema jinn huwa hasemi ukweli asli yake jina Ila kuna hesabu unapata umeishi nao miaka 20 mwenzio kazaliwa kalelewa nao nini yeye kuongea nao mie tu wanijia ndani kwangu naona nao japo wanakuja kwa umbo lake haswa mida ya mchana unakuta kama nalewa usingizi anyways niishie hapa sipo hapa kuongelea habari za mtu nipo kujifunza.nawe elezea elimu yako kuhusu majinn tujifunze.
Kwa kusoma comment zako tu seems Wewe ni mswahili Swahili wale wa kuchamba wenzao sana afu mbeaa.
 
Siri hapa ni kuacha maaswi kwa ukamilifu wake.... Kuipa Dunia kisogo hapo utakuwa karibu na Allah halafu yeye ndo atakufunza usiyoyajua🤝

Mfano hapo ulipo sahv unamaradhi ya nafsi kwahyo ni ngumu kutunukwa kitu kikubwa kama hicho

Inahitaji uchamungu kumtaja sana Allah mpaka nafsi itulie
(Mitume na mawalii hutengenezwa muda mrefu... Mwisho ndio wanakuwa karibu na Allah)

Nakupa mfano mdogo unaoonekana..... Comment ni nyingi hapa zingine za kejeli kwa mleta mada, lakini umeona amepaniki wala kumjibu mtu vibaya hata sehem moja???

Watu wa dhikr hiyo tunaita ni hatua kwenye utulivu wa moyo, na kuna daraja zake..... Kwahyo kama unataka karama na kuwa karibu na Mungu lazima utengenezwe bro kunataratibu zake!!
Sawa, inatakiwa some sana na anachosoma aelewe kutofautisha ni ni cha Allah au cha binaadam?

Duniani kuna elimu za binadam, juna elimu za majini, kuna elimu kubwa kuliko zote, ya Allah, watu wengi wametia mambo yao kwenye elimu ya Allah lazima ajue kutofautisha.
 
Sawa, inatakiwa some sana na anachosoma aelewe kutofautisha ni ni cha Allah au cha binaadam?

Duniani kuna elimu za binadam, juna elimu za majini, kuna elimu kubwa kuliko zote, ya Allah, watu wengi wametia mambo yao kwenye elimu ya Allah lazima ajue kutofautisha.
Kuna maswali yangu sijajibiwa nimeuliza au niwe na subra ☺
 
Nipo hapa Mkuu Arsis kupata muongozo sahihi maana hao watu siwawezi kwa lolote ila Mimi haki yangu naitaka. Najua nafuatiliwa sana mpaka mtaani. Roho inaniuma kwanini wale jasho la Mnyonge kama Mimi wakati wao wana kila kitu wanachokitaka?
Usiwe na wasiwasi, Inshaallah kitu chako kitakua sawa. Hapa kuna watu watakusaidia sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom