cumbamalema
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 366
- 827
Da yaani ushirikina unaanzaga mdogomdogo baadaye unakuwa mchawiWaislam wengi ni wakristo wa zamani, au wao au wazazi wao. Naamini Mkristo wa kweli ni Muislam.
Sihitaji msaada, haya aliniochia babu yangu soiyatumii. Ukiusoma vizuri huu mjadala utaona hata waliposaidia kutoa matatizo ya watu, mimi nilikuepo tu kwa kua ni marafi zangu. Lakini sijawahi kufanya kazi ya uganga, isipokua nikikutana na mtu ana matatizo na naweza kuyatatua namtatulia. Mwiko kukataa, hata nikikataa wanakuja wao wanasaidia.
Majini wanaotaka uwafanyie na wao vitu vyao, hao sio wema ni wachawi kwa mujibu wa Arsis.
Kama unakumbuka kisa cha Unguja? Baba yule alianza kwa kutoa jogoo ikaenda akaanza mbuzi, ikaenda ikawa ng'ombe, ikaenda ikawa ng'omba, ikaenda ikawa ngamia, ikaenda ikawa nyama na damu za watu, mwisho kamba ikakatia kwa binti yake.
Simba.
Da yaani ushirikina unaanzaga mdogomdogo baadaye unakuwa mchawiWaislam wengi ni wakristo wa zamani, au wao au wazazi wao. Naamini Mkristo wa kweli ni Muislam.
Sihitaji msaada, haya aliniochia babu yangu soiyatumii. Ukiusoma vizuri huu mjadala utaona hata waliposaidia kutoa matatizo ya watu, mimi nilikuepo tu kwa kua ni marafi zangu. Lakini sijawahi kufanya kazi ya uganga, isipokua nikikutana na mtu ana matatizo na naweza kuyatatua namtatulia. Mwiko kukataa, hata nikikataa wanakuja wao wanasaidia.
Majini wanaotaka uwafanyie na wao vitu vyao, hao sio wema ni wachawi kwa mujibu wa Arsis.
Kama unakumbuka kisa cha Unguja? Baba yule alianza kwa kutoa jogoo ikaenda akaanza mbuzi, ikaenda ikawa ng'ombe, ikaenda ikawa ng'omba, ikaenda ikawa ngamia, ikaenda ikawa nyama na damu za watu, mwisho kamba ikakatia kwa binti yake.
Simba.
5...1. Kisa cha Adam; Utangulizi 4.
Tutazame mifano ya tafsiri mbili tatu za Kingereza za ayaa hio, tujionee kila moja ilivyo tifauti na nyingine;
Sahih International.
(26) Indeed, Allāh is not timid to present an example - that of a mosquito or what is smaller[15] than it. And those who have believed know that it is the truth from their Lord. But as for those who disbelieve, they say, "What did Allāh intend by this as an example?" He misleads many thereby and guides many thereby. And He misleads not except the defiantly disobedient,
Hapa tunajionea mtafsiri huyu ametumia neno Mwenyezi Mungu si mwoga "timid". Kwa hakika Allāh si mwoga. Cha kustajaabisha ukiwasoma watafsiri wengine, kila mmoja katumia neno lake au linalogfanana na hilo.
Cha muhimu na kukielewa hapo, ni kua wamepotosha, ndio wamepotisha. Kwa sababu aya hio haiongelei mfano wa mbu, neno mbu hapo limetumika kwa maana nyingine kabisa. Ukielewa maana kusudiwa kwa nsimi (lisan) iliotumika utaona kua mbu limetumika kama ni kikundi cha watu wanyoinyaji. Haikukusudiwa kua ni udogo au ukubwa wa mbu kama watafsiri wengi walivyotaka kutuaminisha. Unaweza kurejea tafsiri zote, zipo mtandaoni.
Nimeligusia hilo kuweka mfano wa baadhi ya natatizo tunayokumbana nayo kwa kufata tafsiri ambazo aidha katika kutafsiri mmoja alimfata mwingine au waliwafata wa tafsiri wa awali kama kina "Ibn Kathir" na ikiwa Ibn Kathir aliileta maana fulani kwa tafsiri yake basi hi ni jitihada yake kwa wakati wake lakini inaweza kua ni kinyume kabisa na kusudio na ndimi iliotumika kwenye Qur'an.
Ili kupata maana sahihi, Qur'an yenyewe inatuonesha njia za kutumia kwa ushahidi kabisa wa ndani ya Qur'an. Tutajionea kila tunavyoendelea na kisa.
...5
...75...
Tunapoendelea na aya ya 27 inatoa ufumbuzi zaidi kuwa kilichokusudiwa siyo mfano wa mbu wala siyo mbu. Ingawa neno mbu limetumika lakini kilichokusudiwa ni yale makundi yanayofanya upotofu. Mtafsiri wa aya ya 27, Sheikh Ali Muhsin Barwani ametarjama hivi;
Q 2:27. Wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kwisha ifunga, na wakayakata aliyo amrisha Mwenyezi Mungu kuungwa, na wakafanya uharibifu katika nchi; hao ndio wenye khasara. 27
Ni wazi hata kwa kutumia hio tafsiri ya Barwani, kuwa "mfano wa mbu sio kusudio walla gaongelewi mbu, ispokuwa "mbu" kwenye aya ya 26 inamaanisha moja katika makundi ya uharibifu, kama inavyofafanua aa ya 27.
Katika aya ya 27 napo tunakumbana na tatizo lingine la watafsiri ambao hawajatumia mbinu ya kuifahamu Qur'an ya "tafsil" na ulimi (lisan) wa Ibrahim au "Abrahamic locution".
ٱلَّذِينَ يَنقُضُونَ عَهْدَ ٱللَّهِ مِنۢ بَعْدِ مِيثَـٰقِهِۦ وَيَقْطَعُونَ مَآ أَمَرَ ٱللَّهُ بِهِۦٓ أَن يُوصَلَ وَيُفْسِدُونَ فِى ٱلْأَرْضِ ۚ أُو۟لَـٰٓئِكَ هُمُ ٱلْخَـٰسِرُونَ ٢٧
27. Wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kwisha ifunga, na wakayakata aliyo amrisha Mwenyezi Mungu kuungwa, na wakafanya uharibifu katika nchi; hao ndio wenye khasara. 27
Nimeweka rangi ya njano kwenye maneno ya Kiarabu na ya tarjama ya Kiswahili; Mtarajama katumia maneno "uharibu katika nchi" kutafsiri maneno "ufisadi katika ardhi" kama yalivyo kwenye Qur'an.
Nasema kama yalivyo kwenye Qur'an kwa sababu maneno ufisadi na ardhi yanatokana na Kiarabu na neno lililotumika kwa Kiarabu "Yafsidun fil Ardh". utajionea kuwa hayana tofauti kubwa isipokuwa matamshi tu na Kiswahili.
Cha kujiuiza je, neno ufisadi linaweza pia kuwa "uharibifu", bila shaka ni ndiyo. Na neno "ardh" halina maaan nyingine zaidi ya ardhi hii tunayotembea juu yake? Jibu ni kuwa lina maana nyingine na ndiyo nina uhakika ilimaanisha hivyo, maana nyingine ya neno "ardh" katika Kiarabu ni "maandiko" (scripture). Hili kwa wale wanaofahamu Kiarabu ni wepesi sana kulijua. Ukiwa nchi za Kiarabu mtu akikwambia leta kwa maandishi (quotation) mapoatano yetu, atakwambia leta "ardh" yako. Sifahamu kwanini mtafsiri akaamua kuweka neno nchi kwenye tarjama yake.
Kwa maaa hiyo, mimi nawahakikishia kua maana kusudiwa hapo ni wale wanaofanya "ufisadi katika maandiko". Sababu ziko wazi, Bani Israel walikuta maandiko ya Musa (tawrat) wakayafisadi mpaka yakayapotea /potezwa kabisa na hata iliopo leo kwenye biblia sio "torati" kama wengi wanavyofikiria kwani hata ukiisoma biblia yenyewe inakwambia ni "kumbukumbu la torati".
Kwa maana hio basi Waislam tua mwongozo na igezo ambacho hakijawahi kupotezwa wala kubasilishwa na mtu toka kimeletwa (Qur'an) kwa sababu moja kuu na muhimu sana, Qur'an toka imekuja inahifadhiwa katika vifua vya watu, haijawahi kubadilika, ukienda China, ukija Tanzania, ukienda Marekani, Qur'an inabaki kua ni moja tu. Siongelei tafsiri naongelea Qur'an kwa lugha na ndimi zake iliyukuja nazo. Ndio ibaki kua rejea ya mwisho na uongofu kwa watu wote, ndio, watu wote sio Waislam peke yao, kwani yenyewe inasema;
Q 45:20. Hizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na ni uwongofu, na rehema kwa watu wanao yakinisha. 20
...6
Mimi nitalike kila post yako kwa maana ya kwamba tupo pamoja nafuatilia mada kama ulivyoshaurikatika hiki kisa cha Adam wanaokisoma wote wakipiisoma post, waginge like au mshangao, au masikitoko, au makasirisho, nielewe tu kua imesoimwa na fulani na fulani, hususan ningependelea Lidafo Etugrul Bey Nourhan FaizaFoxy na wengine wote wakipitie na kukifatilia kisa hiki cha Adam, kina mafunzo mengi sana ndani yake.
Nipo tayari kujibu chochote katika haya niandikayo, hii ni elimu.
Simba.
Ww bwana usizunguke mara tafsiri mara hili kama adam sio binadam wa kwanza utuambie wa kwanza alikua nani?katika hiki kisa cha Adam wanaokisoma wote wakipiisoma post, waginge like au mshangao, au masikitoko, au makasirisho, nielewe tu kua imesoimwa na fulani na fulani, hususan ningependelea Lidafo Etugrul Bey Nourhan FaizaFoxy na wengine wote wakipitie na kukifatilia kisa hiki cha Adam, kina mafunzo mengi sana ndani yake.
Nipo tayari kujibu chochote katika haya niandikayo, hii ni elimu.
Simba.
Mimi nipo nakusoma sana, toka ulipoanza tena kisa cha Adam post #3833 mpaka hapa ulipofika.katika hiki kisa cha Adam wanaokisoma wote wakipiisoma post, waginge like au mshangao, au masikitoko, au makasirisho, nielewe tu kua imesoimwa na fulani na fulani, hususan ningependelea Lidafo Etugrul Bey Nourhan FaizaFoxy na wengine wote wakipitie na kukifatilia kisa hiki cha Adam, kina mafunzo mengi sana ndani yake.
Nipo tayari kujibu chochote katika haya niandikayo, hii ni elimu.
Simba.
Lugha kali sana unatumia, kwani kuna ugomvi ndugu yangu?Huyu jamaa ni muongo tu, hakuna cha arsis wala nini mada sake zime jikita kwenye uislam tu maswli mengine anaya kwepa, Mara atajibu simba Mara sijuwi Arsis
Hana huo uwezoJe Arsis anaweza kutabiri mambo yajayo..kama ilivyo kuwa kwa shehe yahya ..kama ndio emu atabiri jambo moja kati ya mwaka huu hapo..ndipo ntaa Amin angalau
Acha kupotezea watu mudaLugha kali sana unatumia, kwani kuna ugomvi ndugu yangu?
Kama jibu silijuwi na anaelijua ni mwingine, nikisema atalijibu yeye ni kosa?
Unaonesha hujaupitia uzi vizuri, hilo Arsis aliliona ukapita uamuzi, tulisema sasa tujibu tu, bila kusema nani anajibu.
Jibu utalolipata ujue limetoka kwetu sote. Simba na Arsis.
Hilo la adam mbona tumelijibu sana, kwa kua unaonesha hujaupitia uzi vizuri, jibu ni hili...Ww bwana usizunguke mara tafsiri mara hili kama adam sio binadam wa kwanza utuambie wa kwanza alikua nani?
Evidence tutaenda kutafuta
Waislam wengi ni wakristo wa zamani, au wao au wazazi wao. Naamini Mkristo wa kweli ni Muislam.
Sihitaji msaada, haya aliniochia babu yangu soiyatumii. Ukiusoma vizuri huu mjadala utaona hata waliposaidia kutoa matatizo ya watu, mimi nilikuepo tu kwa kua ni marafi zangu. Lakini sijawahi kufanya kazi ya uganga, isipokua nikikutana na mtu ana matatizo na naweza kuyatatua namtatulia. Mwiko kukataa, hata nikikataa wanakuja wao wanasaidia.
Majini wanaotaka uwafanyie na wao vitu vyao, hao sio wema ni wachawi kwa mujibu wa Arsis.
Kama unakumbuka kisa cha Unguja? Baba yule alianza kwa kutoa jogoo ikaenda akaanza mbuzi, ikaenda ikawa ng'ombe, ikaenda ikawa ngamia, ikaenda ikawa nyama na damu za watu, mwisho kamba ikakatia kwa binti yake.
Simba.
Mbona unakasirika bila ya sababu?Acha kupotezea watu muda
Nimefurahi sana kwa mchango wako mzuri, michango namna hio ndio inatoa elimu kwa wengi wetu kwa tudioyajua.Katika Uislamu kuna kitu kinaitwa Bidaa yaani uzushi katika Dini ... Nakupa mfano wa kina Dr sule ..sheikh yahaya na watu mfano wao .. tiba zao zinazohusisha majini wanaziingiza au kunasabisha na Uislamu bidaa au uzushi wa aina hii ukifumbiwa macho , unakuwa ushirikina then unapanda daraja na kuwa uchawi ... Mtume wetu Mohammad S.A.W kama kiigizo chetu katika uislamu na maswahaba zake hawakuwahi kutibu kutumia majini au kushirikisha majini ..