Niliyoyaona Mumbai(Bombay)

Niliyoyaona Mumbai(Bombay)

Mr Bean.

Senior Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
185
Reaction score
133
Wadau wikiiliyopita nilibahatika kwenda matembezi ya wiki moja nchini India Nilifikia katka jiji la Mumbai. kama ilivyo kawaida sehemu yeyote ukifika kwa mara ya kwanza lazima kuna mambo kadhaa kama si yote yatakuwa ni mageni kwako. Yafuatayo ni baadhi ya yale niliyo yashuhudia huko Mumbai.

(1) Foleni ya magari na Pikipiki Sijawahi katika maisha yangu kudhani hata siku moja kama kuna sehemu kunawezakuwepo na msongamano wa magari na pikipiki kama ilivyo mumbai

(2) Kelele za honi za magari na pikipiki nadhani kuna maeneo india kama chombo chako cha moto hakina honi huwezi kuendesha Ninaposema kelele za honi ni kelele kweli huwezi amini pikipiki imefungwa honi ya gari

(3) Uchafu jamani ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu ni wachafu Ukiingia kwenye mighahawa hii ya hali ya chini kwakweli kama una kinyaa huwezi kula. Nimambo mengi sana nimejionea mwenyewe huko kwa wenzetu lakini sio rahisi kuyaeleza yote hapa.

Mwingine aliewahi fika huko kwa wadosi amwage hapa alichojifunza. Sikunyingine nitaelezea nilichofahamu kuhusu zile Hospitali maaarufu za Appolo Nawasilisha
 
Mie Nikiingiaga ndani ya daladala kuchefukwa... mashule yetu mengi wanafunzi hujisaidia vichakani....
Nikipita mitaa ya Congo hupataga kisunzi...........
Nikiingia uwanja wa maonyesho ya 77 nazuiga tumbo hadi baadae...
Nikipandaga mabasi ya mikoani na bana pua na kuziba masikio.........
Sijui eapoti maji hakuna Hospitali maji na umeme wa kusasua...........

WEWE mf bean. Mumbai ni jjiji lenye wakazi (24m) Zaidi nusu ya idadi ya waTZ.... halafu huduma za tiba zote hupatikana papo hapo!! na kila aina upasuaji na ubadilishaji viungo bila kucheleweshwa na mlolongo wa Siasa... ni pesa yako !!
Jijila Mumbai lina miaka Zaidi 3000 toka lijengwe.... Soko la kwanza la dhahabu duniani ni Mumbai... bandari kuu imeshemiri usafiri wa maji kuunganisha dunia.....

mara ingine anza na Ukweli na haki ya mazuri yenye faida!!
 
Wadau wikiiliyopita nilibahatika kwenda matembezi ya wiki moja nchini India Nilifikia katka jiji la Mumbai. kama ilivyo kawaida sehemu yeyote ukifika kwa mara ya kwanza lazima kuna mambo kadhaa kama si yote yatakuwa ni mageni kwako. Yafuatayo ni baadhi ya yale niliyo yashuhudia huko Mumbai. (1) Foleni ya magari na Pikipiki Sijawahi katika maisha yangu kudhani hata siku moja kama kuna sehemu kunawezakuwepo na msongamano wa magari na pikipiki kama ilivyo mumbai (2) Kelele za honi za magari na pikipiki nadhani kuna maeneo india kama chombo chako cha moto hakina honi huwezi kuendesha Ninaposema kelele za honi ni kelele kweli huwezi amini pikipiki imefungwa honi ya gari (3) Uchafu jamani ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu ni wachafu Ukiingia kwenye mighahawa hii ya hali ya chini kwakweli kama una kinyaa huwezi kula. Nimambo mengi sana nimejionea mwenyewe huko kwa wenzetu lakini sio rahisi kuyaeleza yote hapa. Mwingine aliewahi fika huko kwa wadosi amwage hapa alichojifunza. Sikunyingine nitaelezea nilichofahamu kuhusu zile Hospitali maaarufu za Appolo Nawasilisha

Mkuu hata mie nasikia kule hakufai kwa jam baadhi ya picha hizi hapa

mumbai-pune.jpg

public-transport-problems-in-mumbai-13-728.jpg

delhi-traffic-pti_650x400_81462290989.jpg

mumbaijam_647_022016022642.jpg
 
Mie Nikiingiaga ndani ya daladala kuchefukwa... mashule yetu mengi wanafunzi hujisaidia vichakani....
Nikipita mitaa ya Congo hupataga kisunzi...........
Nikiingia uwanja wa maonyesho ya 77 nazuiga tumbo hadi baadae...
Nikipandaga mabasi ya mikoani na bana pua na kuziba masikio.........
Sijui eapoti maji hakuna Hospitali maji na umeme wa kusasua...........

WEWE mf bean. Mumbai ni jjiji lenye wakazi (24m) Zaidi nusu ya idadi ya waTZ.... halafu huduma za tiba zote hupatikana papo hapo!! na kila aina upasuaji na ubadilishaji viungo bila kucheleweshwa na mlolongo wa Siasa... ni pesa yako !!
Jijila Mumbai lina miaka Zaidi 3000 toka lijengwe.... Soko la kwanza la dhahabu duniani ni Mumbai... bandari kuu imeshemiri usafiri wa maji kuunganisha dunia.....

mara ingine anza na Ukweli na haki ya mazuri yenye faida!!
Umenena vyema sana ndugu ila nahisi una asili ya uponjoro wewe maana una full data ya Mumbai, mpaka bethidei yake unaijua.
 
Mkuu kwakweli kwa pikipiki mimi ilinishangaza sana..ziko nyingi utafikiri nzi, kingine ulichosahau mkuu ni ombaomba wengi sana pamoja na bajaji zakutosha...kuna gari nyingi aina ya maruti..
 
Back
Top Bottom