naipenda nchi
New Member
- Nov 14, 2014
- 4
- 0
Kero yangu ni kuhusu kutokuonwa umuhimu wa barabara zifuatazo: Barabara ya kutoka VETA mpaka Tandika,VETA mpaka taifa kweli serikali yangu hamuoni kuzidiwa kwa barabara hii sasa inabeba magari mengi mno watu wanapoteza muda kwa foleni jiji linakosa pesa.
Barabara ya Bandarini kupitia BP mpaka Posta mpaka Kariakoo,hapa ndio useme tunajinyima hela wenyewe kuna foleni mpaka kero,embu tufanyie kazi barabara zetu.
Barabara ya Bandarini kupitia BP mpaka Posta mpaka Kariakoo,hapa ndio useme tunajinyima hela wenyewe kuna foleni mpaka kero,embu tufanyie kazi barabara zetu.