Ni ushamba mkuu na inferior complex ya watu wa Mwanza ..Hata hiyo mwanza yenyewe hapo mjin wamejenga watu wa kaskazini
Mkataa kwao mtumwa,Wewe una mentality kama yangu, yani nipo town lakini nikikutana na wa kabla langu nakipiga tu bila wasiwasi, kwanza ni dalili moja wapo ya mtu kujiamini.
NyakatomboNyakayondwa
Nyakalilo
Nyandolwa
Nyakasenya
Nyamonge
Nyakafuru
Nyalwanjaja
Nyamisebehi
Nyamitondo
Nyanseke
Nyalutembo
Uzuri wa mwanza ukifungua biashara watu wanakuja kununua sio Kama sehemu zingine watataka kujua kuwa wewe jamaa Ni wa wapi kabla ya Kuja kununua dukani kwako. So mwanza Ni ya wote ama watanzania wote. Najua unakataa kimakusudi Ila mwanza Kuna kila kabila na na taifa sema tu huku wenyeji ama wazawa Ni wengi nadhani hata tanzania nzima Hawa wenyeji wa mwanza zone Wana impact kubwa mno kwa uwingi.Mimi nasema ukweli kama mtu aje anipinge mji wa mwanza washamba ni wengi sana na wanawake wa huko wanawaogopa wageni yaani ni mji ambao hauwezi kujichanganya kila kona tofauti na arusha dodoma na daressalam
NyangugeMaeneo mengi yaanza na 'Nya'...
Nyasaka
Nyashishi
Nyakato
Nyambiti
Nyakahoja
Nyamongolo
Nyashana
Nyashishi
Nyamadoke
Nyakanazi. nk
Kwenye kilugha ni uongo, Mwanza imejaza watu wa mikoa mbali mbali. Hasa mkoa wa Mara, lugha itumikayo ni kiswahili tu.
Majina ya mahala yanatokana na lugha ya mahala husika mkuu. Wewe unataka uwe Serbia umsikie nyamadoke utamsikia milosovic slobadan .Nyakayondwa
Nyakalilo
Nyandolwa
Nyakasenya
Nyamonge
Nyakafuru
Nyalwanjaja
Nyamisebehi
Nyamitondo
Nyanseke
Nyalutembo
Mkuu upo kishili kumbe. Mie Niko hapa BushituAaah pamenoga haswaa...Kila sehem pamechangamka....ila kishiri ndo pamechangamka zaid due namba ya watu huku ni kubwa haswa
kwani ilikua lazima useme kuliko arusha mkuu😂😂😂Wakuu wazima?
Nafikiri kuna kapost kangu niliwah post humu kuuliza sehem nzuri ya kupumzika kwa hapa Mwanza.
Sasa kwa kipindi hiki cha wiki 2 nilizokaa huku hay ndo niliyoyaona na kujifunza
1. Wanawake wanapiga kazi sana huku(wanajishughulisha) mida ya jioni barabarani utakutana nao sana wakiuza either matunda, dagaa, samaki, maharagwe yaliyochemshwa tu, nyanya na vikorombwezo vingine4, pia wanachoma mahindi na kuyauza
2. Wengi wa wasichana huku ni waoga sana hasa kwa strangers
3. Draft la huku wengi hucheza French( hawajui kuhusu British)
4. Kila wanapokaa hudhani wote ni wa huku hivyo huongea tu kilugha
5. Hotels and Lodge za huku no bei rahis sana sana huanzia 30k
6. Mwanza ni mji mzuri sana, una mandhari nzuri kuliko Arusha( kwa mtazamo wangu)
Asanteni wakuu
# copiedSio muiko Wala mwiko. Hajui wazungu wenyewe Wana kabila zao na hizo lugha za mataifa yao Ni tizi kuzimasta. Franch, Germany language Ni national language Kuna makabila bado humo ndani ndani ya hizo nchi.
Kuna watu wakishasoma ama wakifika USA wakirudi Ni kutema slang ya kufa mtu eg you know,I gonna,I wanna die hard getting this psyy so wanajiona wako juu ama wamestaraabika fulani.
Yaani mtu kukataa vya kikwenu inaonekana kma wewe mjanja Mara mie sijakulia kijijini na wakati Kuna watt wamezaliwa new York wanajua kuongea kikurya Sasa wewe kuzaliwa kwa mtoghole ama igoma unajiona Kama Ni ujanja kutotukuza lugha yako.
Wewe unaongea yai lako Hilo na huku uk tu hapo Kuna Scottish,welish,and Irish nadhani Scottish huwa anajiona superior mno. Kuna visiwa ukienda uka English yao na yako mnapoteana.# copied
European countries are more developed and among the first world countries.
They are made up of the same ethnic group in a single country.
For example England is predominantly English
France is predominantly French
Netherlands is predominantly Dutch.
These people have a common language, ancestry and a common goal.
Just look at Nigeria for example where they packed Hausa, Yoruba, Igbo, Edo, ijaw into one country.
Like we have anything in common.
Imagine a country with Igbo people only, a country with Hausa people only, a country with Yoruba people only.
We don't have to worry which tribe is going to rule or if my ethnic group have senate President or federal appointment or not.
We'll focus on building our ethnic nation. I swear Nigeria must divide. We are not one
That's just my observation about developed and undeveloped country because a country like Nigeria can never developed..
#COPIED
Hapana aisee kifupi niNashangaa sana watu wanavyo compare Mwanza na arusha....
Mwanza ipo vizuri sana hasa miundombinu,na imejengeka pakubwa sana kuliko Arusha.
Arusha mji mdogo sana na umepigwa bao na mikoa kibao