Niliyoyagundua baada ya kuwatembelea wagonjwa Muhimbili

Muhimbili ni Nyoko,nina mshikaji wangu ID zake zimeshikiliwa pale mkewe alilazwa siku 5 bill ikaja 2M+ ***** na hakupona now yuko huko Geita kamuachia Mungu.

Mtoto wa sista wangu yeye aligundulika na kansa ya kizazi(Now kapona) aisee ilibaki kidogo tumkimbie pesa zilizokua zinatoka.

NB:Matibabu ni gharama vitu vingi viko juu inabidi serikali ibane matumizi kwnye mambo yasiyokua na msingi ili kusaidia raia wake vinginevyo hatutaenda popote.
Duh!
Ndio hali ilivyo pale
 
Ni mtihani sana, jiran hapa mume wake amelazwa hapo wiki tu mpka milion na zaidi vipimo tu Jana wamelazimisha waruhusiwe na mgonjwa warudi nyumban kwani hawawezi Ku afford hiz gharama, hapa mgonjwa kapewa referal ya mloganzila kwan ndio kuna kitengo kinachodili na mishipa ya fahamu, lakini wamerudi nyumbani kusubiri kadari ya Mungu kama atamponya kiumbe wake au atamchukua maana vikao vya familia vimefika mwisho hawawezi kuchangia tena, Mungu atupe tu afya njema
 
Amina
 
Ivi muloganzila na mwimbili ni tafauti?
 
Kwenye Bima nakubaliana na weww hasa bima NHIF haifai kabisa nimekata bima hiyo mwezi wa 4 kwa sh 987000/ mpaka leo hii nahangaika ukienda CCBRT wanakwambia nenda kapate rufaa nimeenda saifee hospital wamesema hawataki kuona.

Kuhusu muhimbili madaktari na wakurugenzi baada ya kuondoka jpm wao wanajiona mungu mtu hata ukienda hospitali ya Jakaya Kikwete ya moyo nayo shida utafikiri hospitali milki yao ajira zenyewe za kiundugu sana wakina moleli
ajila muhimbili ni ndugu tu wamejaa. kila daktari wa hapo anandugu yake yupo hapo. nikama kuna shida. kuna watu wanaukoo mzima, pale. A joke of an institution.
 
Huduma za afya Tanzania ni ghali kuliko kawaida usiombe kuugua au kuuguliwa ni utachangangikiwa acha kabisa acha kabisa
Serikali ni inanyonya hadi mifupa ya wananchi wake ndio maana tujitahidi
1.kula vizuri
2.kufanya mazoezi
3.kuwapenda wengine
4.kulala kwa wakati
5.kuepuka ajali
6.kuepuka vilevi
7.kusali sana
8.kutosifia Sifia hovyo serikali
9.kuchagua wabunge sahihi
10.kutumia matunda kama dawa.
11.kunywa maji mengi
 
Back
Top Bottom