Niliyowah kukutana nayo ktk ajira za wahindi

Muuza Viat

JF-Expert Member
Dec 23, 2022
2,824
7,350
Ilikua trh km ya leo kitambo kidogo nikiwa ktk matembez mtaan ghafla simu ikaita namba ya mpigaj ni meneja wa wekshop namaanisha ni namba ya kiongoz wangu wa kazi,baada ya kupokea yalikua maelekezo kuwa gari ya DG imezingua kwa hiyo napaswa kwenda kuangalia tatizo ili tuangalie la kufanya

Pale kwenye ya wekshop ya muhindi nilikua na majukumu matat la mwanzo niliajiriwa km fundi kwa hiyo nilikuwa nafanya ufundi ndan ya wekshop la pili nilikuwa mtu wa brekdaun yaan mteja akipiga simu chombo kimezingua nje ya kiwanda Mzee mzima naenda kurekebisha na kwenye ishu hiyo tupo wawil la tat ikitokea dharura ya moto nawajibika ktk kikos cha kuunganisha mipira ya maji na kuhakikisha walio front hawaishiw mitungi ya gesi na ikitokea majanga ya asili au uharibifu wowote mkubwa nawajibika kwenye timu inayowajibika na kwenda kung'oa fyuz kwenye mfumo unaoingiza umeme kiwandan pamoja na kuhakikisha watu wote wanatoka nje ya jengo maana yake sisi tunakuwa wa mwisho kutoka na majukumu yote hayo nilikua nalipwa dongo nne na sitin na tano mia nne khamsin Kwa mwez baada ya makato yote.

Baada ya kupewa taarifa muhimu kuhusu aina ya gari na mengineyo pamoja na eneo ambalo yupo wazee tukakutana kiwandan na kuchukua chombo ili kwenda eneo la tukio ambapo ni chanika kwa zoo ukitoka g.mboto ipo upande wa kushoto hiyo zoo yenyew, mshua alienda kushangaa wanyama na familia yake ktk zoo ya muhindi mwenzie.

Baada ya kufika eneo la tukio na kujitambulisha kwa boss kubwa tukaanza mchakato wa kukagua fyuz kwa sabab mara nyingi gari zinazotumia umeme changamoto ikitokea ktk mfumo fyuz lazima ikate kwa hiyo ukishagundua fyuz iliyokata ni rahisi kujua ubezi upande gani ili kupunguza muda wa kutafuta tatizo

Kiutaratibu hupasw kukagua fyuz gari inapozima ghafla kwa sabab unaweza weka fyuz ikakata tena au ikatokea shoti kubwa zaid kwa hiyo unapaswa kutumia diagnosis mashine ili kujua tatizo na ukaguzi huu fundi anapewa masaa6 ili kutoa hitimisho

Lkn wakat tunaingia kwenye ile zoo kuna eneo tuliona kuku wengi wa kienyej baada ya kujadiliana tukaona tukwanyue mmoja ili tupike nguna tujiweke sawa na njaa

Baada ya kumjuza mwenyej wetu kuhusu dhumun akatuuliza unga mnao na km hamna mnataka wa muhogo dona au sembe, tukamwambia tunataka wa muhogo kwa hiyo jamaa akahitaj 15k na akatupeleka jikon ambapo kulikua na viungo vyote kwa ajili ya mapish

Jamaa yangu alipika kuku mchemsho na ugali wa muhogo baada ya kumaliza tukakaa pemben ya ndinga la DG na kuanza kupiga matonge

Wakat tunaendelea na zoez DG akaja na kuanza kulalama kwamba lazima siku hiyo aondoke na gari hawez kubal ilale hapo lkn kutokana na harufu nzur ya kuku wa kienyej+ugal wa muhogo akadambua kidal bila kuomba

Ghafla akatoa simu na kuongea kihind na mtu wa upande wa pili huku anakata tonge la ugal wa muhogo

Kumbe ile simu alikua anatoa mualiko na dakika sifur tu Bi Mkubwa,dadaye pamoja na mkewe wamefika

Wakat tumepigwa na butwaa wale nao wakanawa na kuchukua kipande cha kuku huku wakikata tonge

Wakaongea kihind mwishowe tukaulizwa mbona hakuna pilipili

Huwez amin mshkaj alikua ndio kwanza anamalizia firigis wakat mim namalizia kidal lkn wale jamaa walikua washamaliza vilivyomo ndan ya sufuria huku wakimpa ahad ya kumtoa kwenye ufundi na kumpeleka jikon awe mpishi wao
 
hahahaha!! hii sasakali kutoka kuwa fundi na kuwa mzee wa rost jikoni,ningekuwa mimi ninge mwambia mhindi anitake radhi
 
Hii chai we ulikula kidali na mhindi nae alikula kidali acha fix
 
Back
Top Bottom