Niliyowah kukutana nayo ktk ajira za wahindi

Kwaiyo ulikokutana nayo kwenye ajira ya wahindi ni kudokolewa chakula chako.
 
Kwaiyo ulikokutana nayo kwenye ajira ya wahindi ni kudokolewa chakula chako.
Majukumu mengi mshahara mdogo

Ingawaje mshahara mdogo bado msosi wetu wanadokoa ingawaje msosi wa kwao hatudokoi

Kubadilishiwa majukumu dk sifur haijalish umeajiriwa kwa taaluma gani

Yote hayo hujayaona kwenye bandiko???
 
Back
Top Bottom