kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 11,732
- 13,211
Ingewalipukia haijawaripikia
Si kweli mkuu. Ni usafiri tena wa uhakika.Basi tu ni umasikini ila Bodaboda sio usafiri
Kwa wastani inawezekana kwa siku watu 100 wanapata ajali ya piki piki Tanzania. Kwa wiki ni 700 tusiongelee kwa mwezi na mwaka.Nenda MOI kaangalie hizo statistics zako. Ajali ya gari unauwa watu 20 kwa pamoja hii ni habari kubwa.
Lkn bodaboda ina ua, kuvunja na kujeruhi mtu mmoja au wawili ndo hizi sio habari kubwa based kwa vyombo vya habari ndo maana haziripotiwi
Na anapiga singeli sauti hiyooo..Boda boda kang'oa side mirror na anakaa tako moja upande ananing'iniza makubazi halafu anavi dreads flani hivi na wewe bado unapanda boda boda yake shtuka aisee
Kwa hapa dar es salaam Sito panda tena BODABODAKama haina ulazima usipande boda boda
Leo nime shuhudia ajali ya bodaboda, abiria + dereva wamedondoka (wamerushwa kushoto mwa barabara) kilicho ni shangaza ni kuona pikipiki inawafata dereva na abiria walipondondekea kwenda kuwa bonda.
Kama una pikipiki kuwa makini hasa nyakati za jioni, matuta na rasta ni chanzo kikubwa cha ajali
Kama unasehemu unaenda, wahi kutoka panda hata daladala au tembea
Boda wa chamazi hapa....Boda boda kang'oa side mirror na anakaa tako moja upande ananing'iniza makubazi halafu anavi dreads flani hivi na wewe bado unapanda boda boda yake shtuka aisee
Hivi kwanini wanizitoaga?Boda boda kang'oa side mirror na anakaa tako moja upande ananing'iniza makubazi halafu anavi dreads flani hivi na wewe bado unapanda boda boda yake shtuka aisee
Pole sanaa mkuu!!Kwa hapa dar es salaam Sito panda tena BODABODA
Najua sisi binadamu tume carry life & Death muda wote yes, MAANA unaweza ukapoteza uhai hata ukiwa kitandani usingizi na nje umeweka ulinzi kibao...
NB:
Nilikuja na Uzi wangu wa kupata ajari ya BODABODA nikiwa Kama abiria kwa kugongwa na gari nikavunjika mguu wangu wa kushoto..
Nimeanza mazoezi ya kukanyagia mguu wangu Jana nilipiga mazoezi Sana usiku nikawa na Maumivu Sanaa nikameza TRAMADOL 50mg caps wapi...
Leo nimeamshwa na hodi ya kuamshwa na brother angu mjeda huwa anakuja kunipa campan ya mazoezi alfajir nikamwambia brother ondoka TU Leo sifanyi mazoezi mguu unauma Sanaa..analeta ujeshi Mimi sikufungua mlango Nika SEMA sifanyi zoezi lolote...
Nimeshinda na Maumivu huku nimenyoosha mguu kutwa nzima mpaka kiuno,mgongo,mapaja, makalio,tumbo, nyonga, miguu , mabega MAANA MAZOEZI WITH CRUTCHES kwa mtu learner Ni shida.........
Baba angu akanipigia simu akanambia amka fanya mazoezi na bare in mind utaishi na Maumivu mpaka kifo kweli nikapata nguvu nikachukua CRUTCHES jion hii nikaanza Tena zoezi la kukanyagia
All in all,
Kuna muda Maumivu Sanaa Kuna muda kukata tamaa Ila sikati tamaa hope siku moja ntaweza kutembea Tena mwenyewe
Anaandika meseji kwenye simu huku anaendesha pikipiki kwa mwendo wa kasi. Ridiculous!!!Na anapiga singeli sauti hiyooo..
Asante Sana mkuu
Sio bodaboda tu, hata wewe mwendesha gari, mtembea kwa miguu nk kuimaliza siku na kurudi home kw wapemdwa wako ni kushukuru tu, huko barabarani na mitaani kuna mabalaa mengi sana.Ukitoka asubuhi na jioni ukarudi salama inabidi umshukuru sana Mungu, sio baraka ndogo wala kidogo.
Akili mabovu tu hata ukiwauliza hawana sababu ya msingiHivi kwanini wanizitoaga?
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Boda wa chamazi hapa....
Ukiniaangalia tu na tukagonganisha macho nakuja kukubeba ๐๐๐๐