Niliyoshuhudia leo, kama sio lazima usipande bodaboda

Basi tu ni umasikini ila Bodaboda sio usafiri
Si kweli mkuu. Ni usafiri tena wa uhakika.
Tatizo,wanaoendesha,ni watu gani,wanajua wanachokifanya!
Nchi nzima ukishitukiza,utakuta wenye leseni,za uhakika ni kama 15%. Kijana anatoka kwenye baskeli,akiona anaweza kupanga na kupangua gia,huyo tayari barabarani. Na wakitoka,wanataka waige wanayoyaona kwenye movie.
Huwezi mtakia mtu mabaya,lakini ukibahatika kubebwa na mtu aliyenusurika ajari,utafurahi. Anakuwaga makini sana.

Hata daladala. Majuzi nilitoka Kariakoo,nikapanda gari la Kimanga. Aise, jama na minywele yake ya ajabu,gari bado mpya tu,anatembea mshale unatafuta 110km/h!!! Unajiuliza hawa watu wanavutaga nini!
Ukimpata dereva bodaboda anaejielewa, hutotamani hata daladala.
 
Nenda MOI kaangalie hizo statistics zako. Ajali ya gari unauwa watu 20 kwa pamoja hii ni habari kubwa.

Lkn bodaboda ina ua, kuvunja na kujeruhi mtu mmoja au wawili ndo hizi sio habari kubwa based kwa vyombo vya habari ndo maana haziripotiwi
Kwa wastani inawezekana kwa siku watu 100 wanapata ajali ya piki piki Tanzania. Kwa wiki ni 700 tusiongelee kwa mwezi na mwaka.

Piki piki hasa hizi za cc ndogo ni bomu na hatari sana.

Piki piki ina cc 150 alafu ina speed 140 hadi 160 na TBS wapo wanaziangalia tu na kusema ni ajira. Kimsingi zilitakiwa ziishie speed 80 hivi.
 
Kama haina ulazima usipande boda boda

Leo nime shuhudia ajali ya bodaboda, abiria + dereva wamedondoka (wamerushwa kushoto mwa barabara) kilicho ni shangaza ni kuona pikipiki inawafata dereva na abiria walipondondekea kwenda kuwa bonda.

Kama una pikipiki kuwa makini hasa nyakati za jioni, matuta na rasta ni chanzo kikubwa cha ajali

Kama unasehemu unaenda, wahi kutoka panda hata daladala au tembea
Kwa hapa dar es salaam Sito panda tena BODABODA

Najua sisi binadamu tume carry life & Death muda wote yes, MAANA unaweza ukapoteza uhai hata ukiwa kitandani usingizi na nje umeweka ulinzi kibao...

NB:
Nilikuja na Uzi wangu wa kupata ajari ya BODABODA nikiwa Kama abiria kwa kugongwa na gari nikavunjika mguu wangu wa kushoto..

Nimeanza mazoezi ya kukanyagia mguu wangu Jana nilipiga mazoezi Sana usiku nikawa na Maumivu Sanaa nikameza TRAMADOL 50mg caps wapi...

Leo nimeamshwa na hodi ya kuamshwa na brother angu mjeda huwa anakuja kunipa campan ya mazoezi alfajir nikamwambia brother ondoka TU Leo sifanyi mazoezi mguu unauma Sanaa..analeta ujeshi Mimi sikufungua mlango Nika SEMA sifanyi zoezi lolote...

Nimeshinda na Maumivu huku nimenyoosha mguu kutwa nzima mpaka kiuno,mgongo,mapaja, makalio,tumbo, nyonga, miguu , mabega MAANA MAZOEZI WITH CRUTCHES kwa mtu learner Ni shida.........

Baba angu akanipigia simu akanambia amka fanya mazoezi na bare in mind utaishi na Maumivu mpaka kifo kweli nikapata nguvu nikachukua CRUTCHES jion hii nikaanza Tena zoezi la kukanyagia

All in all,
Kuna muda Maumivu Sanaa Kuna muda kukata tamaa Ila sikati tamaa hope siku moja ntaweza kutembea Tena mwenyewe
 
Pole sanaa mkuu!!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom