Bangi vuta mkuu ila usivute kwasababu ya kuondoa mawazo, vuta kwa ajili ya kupata utulivu, mimi nimeanza kuivuta nikiwa na miaka 40, sijawahi kujuta!niliapa sitowahi kunywa pombe kuvuta sigara bange ila ninavyoona baadae naweza kuja kuvuta bange ila siombei
Duh watoto walipozaliwa uliwapata?na ilikuaje baada ya hapo?
Hadi dakika hii ninashukuru sijawahi kumiliki kadi ya chama cha kijani kibichi.
Duuh mkuu hatariii hukujifunza kutoka kwa mzeeYani pombe vile baba alikuwa anakunywa hadi anajinyea niliapa katu sithubutu kunywa ila kwasasa nisili yangu hata sikumbuki nilianza vp
Bangi vuta mkuu ila usivute kwasababu ya kuondoa mawazo, vuta kwa ajili ya kupata utulivu, mimi nimeanza kuivuta nikiwa na miaka 40, sijawahi kujuta!
Dah acha maisha yaitwe maishaUkishazaa kwenye ndoa ya mtu mtt sio wako tena.
dahMie niliapa nitamtunzia mume wangu
Lakini hadi sasa nimeshafanya kama mara 7800
InnAllah maswaabirinaKuwa na subra mambo ni mengi
Allah yuko na wale wenye kusubiri
Ingia Kwanza mpenzKuna nn jaman huko..mbona hatar hii(kutamani usingeolewaga kabisa
Kumbeeecomments zako tu zinaonyeshaga umemchoka mmeo
Nimemaliza mkuuTupe experience mkuu ni kwanini unajuta!?
Apparently I'm not as good as you think I am. That was an honest thought.You, my friend are way better than that.
Way better and you better not let me down with such thoughts.
I don't do spirit stuffNever keep suicide as an option, itakuwa inaku hunt hiyo spirit.
Apparently I'm not as good as you think I am. That was an honest thought.
If I find myself absolutely useless in this world, where my existence is simply an inconvenience to others, with no hope: I will take my life.
Maybe we define 'useless' differently. But I'll be sure to reach out if bad comes to worst.Who cares how bad you are?
You will never be useless because God created you with a purpose.
If you ever feel useless reach out to me and I will prove to you how wrong you are.
Maybe we define 'useless' differently. But I'll be sure to reach out if bad comes to worst.
Mie niliapa nitamtunzia mume wangu
Lakini hadi sasa nimeshafanya kama mara 7800
Mmmmh..sio kupata tahadhari kwanza?? Please share kama hutojali.Ingia Kwanza mpenz