Niliyojiapiza kutoyafanya ukubwani yote yamenishinda. Hadi sasa nimeyafanya yote kasoro moja tu

You, my friend are way better than that.

Way better and you better not let me down with such thoughts.
Apparently I'm not as good as you think I am. That was an honest thought.

If I find myself absolutely useless in this world, where my existence is simply an inconvenience to others, with no hope: I will take my life.
 
Who cares how bad you are?

You will never be useless because God created you with a purpose.

If you ever feel useless reach out to me and I will prove to you how wrong you are.
 
Who cares how bad you are?

You will never be useless because God created you with a purpose.

If you ever feel useless reach out to me and I will prove to you how wrong you are.
Maybe we define 'useless' differently. But I'll be sure to reach out if bad comes to worst.
 
1.kunywa pombe , kiukweli mpaka sasa sijagusa,sijawahi kushawishika mpaka sasa na Mungu anijalie mbeleni pia nisishawishike
2.kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, hili kidogo lilianza kunilemea baada yakupenda sana lakini kwa vituko nlivyoona nimelirudia tena
3. Kupiga mwanamke wangu yaani mpenzi hata akinikosea vipi na mpaka sasa nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa lakini sijaoa so sijui huko mbele Mungu anikumbushe,hapa namaanisha ile kupiga kama unaua nyoka, ila kibao kimoja cha hasira atalimwa tu akikaa karibu hili nimejihalalishia japo sijafikiaga hatua hiyo mpaka sasa nlipo
4.kuwa na mtoto nje ya ndoa, japo mpaka sasa hakuna ambaye na uhakika naye ila nishaligeuka hilo kiapo na huko mbele naweza kuwa naye maana sina mpango wakuoa haraka halafu natamani kuwa na mtoto so mama wa mtoto akiwa wife material basi ntakuwa nimefanikiwa
1.kusomea ualimu,mpaka sasa nimeshaliruka lakini ni fani nayoishemu sana na namuoneaga wivu anayependa hiyo fani natamani kuependa ila nimeshindwa kuipenda,mm sipendi kusoma vitu ambavyo siwezi kuviapply moja kwa moja kwenye maisha yangu hilo ndo limenifanya ualimu kusomea unishinde
 
Back
Top Bottom