Niliyojiapiza kutoyafanya ukubwani yote yamenishinda. Hadi sasa nimeyafanya yote kasoro moja tu

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
5,105
Points
2,000

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
5,105 2,000
Ndugu zangu!

Mwenzenu nilipokuwa kijana niliapa katu katu sitokuja kujaribu kufanya mambo haya matano!

  1. Niliapa kutozaa watoto nje ya ndoa.... lakini hadi muda huu Leo nina watoto watatu nje ya ndoa inaniuma sana lakini basi tu
  2. Niliapa sitokuja kutembea na mke wa MTU katukatu...Daah kusema ukweli hilo nalo nimepitiwa nimewalaaa sana utafikili wametumwa kunijaribu
  3. Kufanya mapenzi kwenye gari; Yaani nilikuwa nawashangaa sana wanaofanya kwenye gari, lakini siku nilionja nikazoea kwanza hata guest nikaanza kuona ni hasara
  4. Kwenda kwa mganga; Niliapa sitakanyaga kwa mganga, Baada misukosuko ya kikazi nilimtafta mganga mwenyewe bila shurti
  5. Nililofanikiwa hadi sasa nikotokula TGO ya mtu; Kusema ukweli hili nimeshinda ingawa majaribu yalikuwa mengi sana lakini Alhamdulillah Nimeyashinda!
Nilichojifunza Usijiapize kitofanya kitu bila kuwa na ufaham wa namna ya kuepukana nacho.

Vipi; Nyie wenzangu mlitumia njia gani kujizuia msiyafanye mlojipangia?

TUJUZANE TAFADHALI
 

Karma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
9,179
Points
2,000

Karma

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
9,179 2,000
kuna watu nimekuja gundua kuwa bila kujijua huwa wana date na watu wa aina fulani tu...
nina mwana kila demu wake alikuwa ni mkristo ilhali yeye ni muislamu...juzi kaoa na aliyemuoa ni mkristo
Ila siyo mbaya kikubwa mapenzi tu
 

Forum statistics

Threads 1,344,932
Members 516,083
Posts 32,840,364
Top